Hali ya Mtwara mchana huu

Hali ya Mtwara mchana huu

Ngoja tusubiri updates kutoka kwa Wakuu Sizinga na THE BIG SHOW

UPDATE:

MADUKA YA BIMA YOTE CLOSED:
ao15om.jpg


JUCTION YA BIMA HAINA WATU KABISA, HATA NMB IMEFUNGWA:
2wfkdhg.jpg


KWA MBALI UTALIONA GARI YA ASKARI IKIRANDARANDA...KOKOBICHI, KIMYA KABISA YANI
33v2lmr.jpg


MADUKA YOTE YAMEFUNGWA LEO...
9le6xf.jpg


KWA UJUMLA HALI BADO SIO SHWARI KABISA...
9le6xf.jpg
 
mbona leo ni kuna muendelezo wa mjadala wa bajeti ya uchukuzi ya dr.mwakyembe..nani kawaambia leobajeti ya wizara ya nishati na madini...ukweli hili jambo la gas kuna watu wako nyuma ndio wanahamamsisisha wananchi vyema serikali ikawa makini na hawa watu wachache wanao chochea vurugu baada ya mshakamano na kuwaeleza wananchi ukweli.....

Unajua unachokiongea au unaropoka tu? NANI KAKWAMBIA KUNA VURUGU MTWARA?
 
Gesi haitokiiiiiiiiiii....kila kitu bagamoyo kwani wamakonde hawataki kuwa na maisha mazuri??komaeni wananchi HAKI haiombwi bali hudaiwa,msicheke na kima mtavuna mabua.
 
Polisi wametanda kila kona wanarandaranda. Kuna jamaa maeneo ya Magomeni (Mtwara) wamepopolewa mawe na wananchi, kisa walikuwa wanaenda kazini. Wananchi wamedai kuwa kama bajeti isiposomwa leo basi mwendo ni huo huo.

Mji mzima kimyaaaaa.
 
Nashukuru Mkuu, nimeiona unajua wengine tunashinda mashambani, kiujumla hili suala Serikali wasilichukulie kirahisi, jamaa wa Mtwara wako serious na hii issue

ata ujlkishinda shambani wakati wa mapumziko jf iko hewani 24/7
 
Nashukuru Mkuu, nimeiona unajua wengine tunashinda mashambani, kiujumla hili suala Serikali wasilichukulie kirahisi, jamaa wa Mtwara wako serious na hii issue

ata ujlkishinda shambani wakati wa mapumziko jf iko hewani 24/7
 
mbona leo ni kuna muendelezo wa mjadala wa bajeti ya uchukuzi ya dr.mwakyembe..nani kawaambia leobajeti ya wizara ya nishati na madini...ukweli hili jambo la gas kuna watu wako nyuma ndio wanahamamsisisha wananchi vyema serikali ikawa makini na hawa watu wachache wanao chochea vurugu baada ya mshakamano na kuwaeleza wananchi ukweli.....
hao wanaojua ukweli na wanawalaumu watu wanaoshindwa kuwaambia ukweli watu wa Mtwara kwa nini na wao wasiwaambii ukweli watu wa Mtwara? wanachofanya wanaMtwara ndicho wanachokifahamu
 
I wish hiyo nguvu ya wananchi kujitambua ingehamia hapa Dar yaani watu wa Dar wanakaa barabarani masaa 2-5 kwenda na kurudi waendako wako kimya tuu barabara zote kuu zimefungwa hakuna kulalamika wala kuchukua hatua,hali ya maisha ngumu watu analala kwa kunywa maji kimya tu,Kinyesi kimetapakaa mji mzima ,kimya uchafu wa kila aina kila mahara kimya tu,maji hamna kabisa kimya duh hongereni wana mtwara, kesho fanyeni kazi halafu jumatatu kaeni majumbani kusikiliza hotuba mabadiriko rasmi yataanzia kusini
 
Hali ya usalama katika mji wa mtwara bado jeshi la polisi wakishilikiana na jeshi la wananchi j.w wanaendelea kufanya dolia ili kuzuia aina yeyote ya fujo inayoweza kujitokeza kutoka kwa wananchi wa mtwara ambao wanasubiri tamko la serikali kuhusu kuwepo au kutokuwepo mradi wa kutandika bomba la gas kwenda dar es salam kupitia wizara ya nishati na madini inayotegemewa kuwasirisha budget yake siku ya jumatatu.

Maeneo ya BIMA, Bank ya N.M.B. na CCM mkoa hali si kama kawaida kwani hakuna huduma za kijamii kama usafiri wa bajaji,taxi na boda pia maduka mahoteli yamefungwa kwa kuhofia vurugu hali ni hivyo hivyo katika maeneo ya soko kuu na stand kuu hakuna huduma ya kuuza vyakula,maduka na huduma ya mabasi kwenda mikoani.

Baadhi ya abiria waliojitokeza kupanda kwenye basi moja la kwenda vijijini walishushwa na kundi kubwa la vijana waliokusanyika stand hapo,pia ukionekana unapakia abiria kwenye boda au bajaji kundi hilo linazuia,licha ya magari ya FFU na JW kuendelea kuzunguka vijana wanaonekana kutokuyaogopa bali wanaendelea kusimama ktk makundi huku wakishangilia.

Lengo kuu la wanamtwara kusimamisha huduma za kijamii siku ya leo wanadai ni kufikisha ujumbe kwa serikali kuacha mala moja mpango wake wa kujenga bomba la gas asilia kupeleka gas Dar kwani wao wanataka mtwara iwe special energy zone,ambayo shughuli zote za production, procesing na exportation zifanyike kupitia bandari ya mtwara,na hata umeme utoke kwa njia ya nguzo kwenda Dsm

Naomba kuwasilisha moja kwa moja toka eneo la tukio
 
Tunaomba vurugu na fujo zisije kutokea maana waathirika wakubwa huwa ni akina mama na watoto,amani itawale Mtwara.
 
Ngoma inogile, aminia wamakonde. swali sasa hayo mabomuwaliyopeleka watayapiga wapi?
kweli nimeamini binadamu ni binadamu na vitisho ni suala la muda tu. Sasa wengine wanajifanya kuongea sana lakini wao wanaamua kukaa kimya ili anayeangalia atajua ni nani mwelevu na mwenye haki!
 
Sijaona updates yeyote humu ndani leo hadi muda huu. Nini kimeendelea baada ya tension iliyokuwepo jana? Wapi THE BIGSHOW,come out and speak!
 
Hali hii ina tafsiri gani, wananchi wamekataa..serikali ijitathimini, isilazimishe kwa kuwa madaraka ya serikali yametoka kwa wananchi then kama wananchi hawataki ges itoke,serikali inataka nini?....serikali ndiye mchochezi namba moja wa taifa hili, wananchi hatuna matatizo. Usikivu wa serikali uko wapi?..kuna maslahi ya watu binafsi kwenye gesi hii kwenda Dar?...polisi na wanajeshi kuweka doria ni vitisho na kutujengea hofu, Tanzania inaugua ugonjwa mbaya sana,ila itapona mda kitambo, chademaquine....
 
wewe nani kakudanganya kuwa wizara ya nishati inawasilisha bajeti yake jumatatu.
 
Kwa vile maccm yamezoea mabomu, hii style is the best. Wazunguke na mabomu yao. Tunaokataa ni sisi wanamtwara, tumletee nani vurugu? Labda vipapet vichache vinaotaka hujuma kwa wanamtwara. Mtwara hoyeeeee.
 
Du hapo nisawa nakumchapa punda aende, akaamua kulala chini na miguu kanyanyua juu sijui utafanyaje? ukiona hivyo ujue amechoka.
 
Polisi wametanda kila kona wanarandaranda. Kuna jamaa maeneo ya Magomeni (Mtwara) wamepopolewa mawe na wananchi, kisa walikuwa wanaenda kazini. Wananchi wamedai kuwa kama bajeti isiposomwa leo basi mwendo ni huo huo.

Mji mzima kimyaaaaa.

mkuu katika hili la ges mtwara watu wa huku wapo serious ile mbaya sijapata kuona ujasiri kama huu. bt kuukweli wanaodhani suala hili ni pandikizi, hawaitkii mema tz. suluhisho ni decentrolize uchumi w tziiiii.
 
Kweli wana mtwara wana mfano wa kuigwa kwani ni wamoja na wanamsimamo
 
Back
Top Bottom