Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,496
- 272,159
Chadema wanahusika na kila kitu hapo wanawaokota sana na kutafuta umaarufu wa kisiasa
Tangu Mwaka huu uanze haya ndiyo maoni ya kiwango cha chini kabisa kuwahi kutokea kwenye jukwaa hili !
Chadema wanahusika na kila kitu hapo wanawaokota sana na kutafuta umaarufu wa kisiasa
CCM watakata umeme ili mshindwe kusikiliza hotuba ya wizara...
Kila kitu CHADEMA,hata wake zenu wakitoka nje ya ndoa mtasema CHADEMA,acheni uzushiChadema wanahusika na kila kitu hapo wanawaokota sana na kutafuta umaarufu wa kisiasa
Ngoma inogile, aminia wamakonde. swali sasa hayo mabomuwaliyopeleka watayapiga wapi?
mbona leo ni kuna muendelezo wa mjadala wa bajeti ya uchukuzi ya dr.mwakyembe..nani kawaambia leobajeti ya wizara ya nishati na madini...ukweli hili jambo la gas kuna watu wako nyuma ndio wanahamamsisisha wananchi vyema serikali ikawa makini na hawa watu wachache wanao chochea vurugu baada ya mshakamano na kuwaeleza wananchi ukweli.....
Wana jf, updates kutoka Mtwara zinasema wananchi wameitikia wito wa kutofanya kazi yeyote na kwamba ofisi za serikali tu ndio zinatoa huduma huku kila mwananchi akiwa nyumbani kwake.
Wana jf, updates
kutoka Mtwara zinasema wananchi wameitikia wito wa kutofanya kazi yeyote
na kwamba ofisi za serikali tu ndio zinatoa huduma huku kila mwananchi
akiwa nyumbani kwake.
Wana jf, updates kutoka Mtwara zinasema wananchi wameitikia wito wa kutofanya kazi yeyote na kwamba ofisi za serikali tu ndio zinatoa huduma huku kila mwananchi akiwa nyumbani kwake.
mbona leo ni kuna muendelezo wa mjadala wa bajeti ya uchukuzi ya dr.mwakyembe..nani kawaambia leobajeti ya wizara ya nishati na madini...ukweli hili jambo la gas kuna watu wako nyuma ndio wanahamamsisisha wananchi vyema serikali ikawa makini na hawa watu wachache wanao chochea vurugu baada ya mshakamano na kuwaeleza wananchi ukweli.....
ngoma inogile, aminia wamakonde. Swali sasa hayo mabomuwaliyopeleka watayapiga wapi?[/quote]
ukizingatia hawajazoea kuona wananchi wametulia (siyo kuandamana).........itabidi mzigo wauweke akiba!!!!
mbona leo ni kuna muendelezo wa mjadala wa bajeti ya uchukuzi ya dr.mwakyembe..nani kawaambia leobajeti ya wizara ya nishati na madini...ukweli hili jambo la gas kuna watu wako nyuma ndio wanahamamsisisha wananchi vyema serikali ikawa makini na hawa watu wachache wanao chochea vurugu baada ya mshakamano na kuwaeleza wananchi ukweli.....
Taarifa hizo ni za kweli,sizinga ataleta picha mda si mrefu sana