Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,593
- 35,854
Nitafute chapu
Ahahaaa mwanamke ana mihemko tu huyoHamna bro na ujanja wangu wote sigusagi kila kiwanja, mi ni player under a stricted contract.
Anatalka Masada gani kwani?Njoo inbox nitakusaidia bure
la hasha, kila mmoja na hulka au maamuzi yake, mimi ni nani ni judge yasiyo yangu.Ahahaaa mwanamke ana mihemko tu huyo
Sasa mke wangu mbona umemwaga mchele mbele ya kuku wengi?Wapendwa kwanza poleni na msiba!
Mwenzenu naona kabisa nikiingia dhambini
Nishajaliwa watoto wangu wawili nikaona wananitosha kabisaa
Nikaweka kipandikizi mkononi….
Fast forward mwaka mmoja baadae kikaaanza kuniletea maudhi nimekitoa 3 month ago.
Miongoni mwa maudhi ni kutokua na hamu kabisa ya jambo letu…
So baada ya kutoa mwezi wa kwanza sikusikia chochote
Mwezi wa pili eeeeh nikaanza kupata hisia kali sana at the peak of ovulation
Jamani mwezi huu nusu ni bake mtoto wa mtu…
Na nimekuja kutafakari hili jambo leo kwamba chanzo ni nini cha hii hamu ndo nikapata jibu hilo…
Aisee ndugu zanguni mpaka nimeongea na Mungu leo…nitafanyaje?
Najiskia vibaya sana….maaana nilishafunganga huo mlango wa mambo ya wakubwa…kwa kifupi nina abstain
Baba mtu tumetengana kimkoa sababu ya kazi but we raise our kids together(sitaongela sana hili)
So most of the time nakua dry sell
Guys sihitaji dhambi hiyo lakini mambo yananizidia kweli kweli
Naomba ushauri
Ninategemea kuanza gym mapema sana mwakani ili niwe nachoka sanaaa
Kias kwamba nisiwaze kabisa huo ulimwengu ila at the moment nakua busy sana…. Ila nikipumzika kidogo tu aiseee ni moto moto
Hii hali sikua nayo before implants
So nahisi hormones bado hazijajibalance
Naombeni ushauri jamani nitabaka huku
Yaani Achana na Mungu bwanaIla mwili hapana umeshindikana kwenye hayo mambo
yAan unakusukuma mpaka mwsho wa siku lazima ukubal tu
Unamuelewaje pyaar😅😅Pole sana.
Nakuelewa sana.
Haya yote mungu aliyaumba au kuyapanga ili watu waongezeke dunianiYaani Achana na Mungu bwana
Ukienda gym kwa nyege zako izo ili uchoke ndyo ume kwishaaWapendwa kwanza poleni na msiba!
Mwenzenu naona kabisa nikiingia dhambini
Nishajaliwa watoto wangu wawili nikaona wananitosha kabisaa
Nikaweka kipandikizi mkononi….
Fast forward mwaka mmoja baadae kikaaanza kuniletea maudhi nimekitoa 3 month ago.
Miongoni mwa maudhi ni kutokua na hamu kabisa ya jambo letu…
So baada ya kutoa mwezi wa kwanza sikusikia chochote
Mwezi wa pili eeeeh nikaanza kupata hisia kali sana at the peak of ovulation
Jamani mwezi huu nusu ni bake mtoto wa mtu…
Na nimekuja kutafakari hili jambo leo kwamba chanzo ni nini cha hii hamu ndo nikapata jibu hilo…
Aisee ndugu zanguni mpaka nimeongea na Mungu leo…nitafanyaje?
Najiskia vibaya sana….maaana nilishafunganga huo mlango wa mambo ya wakubwa…kwa kifupi nina abstain
Baba mtu tumetengana kimkoa sababu ya kazi but we raise our kids together(sitaongela sana hili)
So most of the time nakua dry sell
Guys sihitaji dhambi hiyo lakini mambo yananizidia kweli kweli
Naomba ushauri
Ninategemea kuanza gym mapema sana mwakani ili niwe nachoka sanaaa
Kias kwamba nisiwaze kabisa huo ulimwengu ila at the moment nakua busy sana…. Ila nikipumzika kidogo tu aiseee ni moto moto
Hii hali sikua nayo before implants
So nahisi hormones bado hazijajibalance
Naombeni ushauri jamani nitabaka huku
😁😁😁Unamuelewaje pyaar😅😅
😂😂😂😂😂Nitafute haraka nikupe dawa ya kukomesha hilo tatizo mara moja.