Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

Pole naujua ukame...nyege ! Hii ni body satisfaction, ni kama chakula ama maji mda mwingine !
Ushauri! Tafuta mtu anayeeleweka, mtu mzima mwenzio, mzoe zoee, out za hapa na pale! sisi wanaume ni dhaifu, atajaa tu mwenyewe! Note, usijirahisishe sana atakuona malaya! Upe mwili kitu unapenda, play smart una watoto wanakuhitaji
Siwezi tembea na mzee mwenzangu
Natafuta nini sasa???
Yaani niache kupata mtu mwenye pumzi zake nitafute mzee mwenzangu kwani nataka urithi mimi???
 
Endelea kujizuia itakuja kuliwa sehemu mbaya, na mtu wa hovyo, nyakati mbaya na ngono zembe.
Achana na hadithi za kutishana za wadini.
Ngono siyo dhambi, uzinzi ndiyo dhambi. Uasherati (umalaya) ndiyo dhambi.
Tafuta au jiweke kwa mtu waayamanio yako upunguze stress na kujiepusha na aibu ya kufanya niliyokuonya hapo juu.
Mchakato mzima wa kudate siuwezi kwa sasa
Naona ni process ndefu sana aisee
 
Wapendwa kwanza poleni na msiba!
Mwenzenu naona kabisa nikiingia dhambini
Nishajaliwa watoto wangu wawili nikaona wananitosha kabisaa
Nikaweka kipandikizi mkononi….
Fast forward mwaka mmoja baadae kikaaanza kuniletea maudhi nimekitoa 3 month ago.

Miongoni mwa maudhi ni kutokua na hamu kabisa ya jambo letu…
So baada ya kutoa mwezi wa kwanza sikusikia chochote
Mwezi wa pili eeeeh nikaanza kupata hisia kali sana at the peak of ovulation
Jamani mwezi huu nusu ni bake mtoto wa mtu…
Na nimekuja kutafakari hili jambo leo kwamba chanzo ni nini cha hii hamu ndo nikapata jibu hilo…
Aisee ndugu zanguni mpaka nimeongea na Mungu leo…nitafanyaje?
Najiskia vibaya sana….maaana nilishafunganga huo mlango wa mambo ya wakubwa…kwa kifupi nina abstain
Baba mtu tumetengana kimkoa sababu ya kazi but we raise our kids together(sitaongela sana hili)
So most of the time nakua dry sell
Guys sihitaji dhambi hiyo lakini mambo yananizidia kweli kweli
Naomba ushauri
Ninategemea kuanza gym mapema sana mwakani ili niwe nachoka sanaaa
Kias kwamba nisiwaze kabisa huo ulimwengu ila at the moment nakua busy sana…. Ila nikipumzika kidogo tu aiseee ni moto moto
Hii hali sikua nayo before implants
So nahisi hormones bado hazijajibalance
Naombeni ushauri jamani nitabaka huku
Kumbe shetani ni binadamu!!!!
 
I think uko kwenye third floor, 30+... ni unri ambao mwanamke anakuwa kwenye high peak ya libido na ni kipindi ambacho anafurahia sex zaidi

Nadhani kuwa kwenye mahusiano ni bora zaidi kipindi hiki... vinginevyo unaweza kugeuka kuwa mtu mzima hovyo
 
can I see you tonight, ninkukunda for life,,, 🎺🎺🎺 come see your baby mama eat your triangle 🔺️,,

Kawimbo kanashawishi kuzagamuana,, hebu kasikilize halafu mtumie mzee aje ale hiyo sambusa yake,, hakikisha anamwaga oil yote bila hivyo jiandae kupata kichaa
 
Hah

hahaha
Long tine toka kitambo sana jf
 
I think uko kwenye third floor, 30+... ni unri ambao mwanamke anakuwa kwenye high peak ya libido na ni kipindi ambacho anafurahia sex zaidi

Nadhani kuwa kwenye mahusiano ni bora zaidi kipindi hiki... vinginevyo unaweza kugeuka kuwa mtu mzima hovyo
Naenda google kusoma zaidi
I never felt relaxed after orgasm kama sasa hivi
 
Wapendwa kwanza poleni na msiba!
Mwenzenu naona kabisa nikiingia dhambini
Nishajaliwa watoto wangu wawili nikaona wananitosha kabisaa
Nikaweka kipandikizi mkononi….
Fast forward mwaka mmoja baadae kikaaanza kuniletea maudhi nimekitoa 3 month ago.

Miongoni mwa maudhi ni kutokua na hamu kabisa ya jambo letu…
So baada ya kutoa mwezi wa kwanza sikusikia chochote
Mwezi wa pili eeeeh nikaanza kupata hisia kali sana at the peak of ovulation
Jamani mwezi huu nusu ni bake mtoto wa mtu…
Na nimekuja kutafakari hili jambo leo kwamba chanzo ni nini cha hii hamu ndo nikapata jibu hilo…
Aisee ndugu zanguni mpaka nimeongea na Mungu leo…nitafanyaje?
Najiskia vibaya sana….maaana nilishafunganga huo mlango wa mambo ya wakubwa…kwa kifupi nina abstain
Baba mtu tumetengana kimkoa sababu ya kazi but we raise our kids together(sitaongela sana hili)
So most of the time nakua dry sell
Guys sihitaji dhambi hiyo lakini mambo yananizidia kweli kweli
Naomba ushauri
Ninategemea kuanza gym mapema sana mwakani ili niwe nachoka sanaaa
Kias kwamba nisiwaze kabisa huo ulimwengu ila at the moment nakua busy sana…. Ila nikipumzika kidogo tu aiseee ni moto moto
Hii hali sikua nayo before implants
So nahisi hormones bado hazijajibalance
Naombeni ushauri jamani nitabaka huku
Dah embu njoo chap Pm maana siwezi kuzungumza hapa ila jua ukweli nitakusaidia ila lazima nikuombe game ,uwezo wa kusema nitakusaidia bila kukutaka sina utanisamehe
 
Siwezi tembea na mzee mwenzangu
Natafuta nini sasa???
Yaani niache kupata mtu mwenye pumzi zake nitafute mzee mwenzangu kwani nataka urithi mimi???
Tatizo lako unautaka lakini haupo straight ningekuwa daslamu ningekata kiu yako .
 
Mchakato mzima wa kudate siuwezi kwa sasa
Naona ni process ndefu sana aisee
Siyo lazima kuwa attached Sana.
Akikuomba anaye kuvutia mpe ila mwambie huna mpango wa ndoa. Mnatafutana wakati mmoja anaitaka tu. Kuvaa soksi muhimu.
 
Back
Top Bottom