Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

Ndoa Ndoano
Ukiachwa Achika

Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana
Ukikosea Kuchagua Kwenye Uchaguzi Ujue Mpaka Baada Ya Miaka 5
Ndoa ndoa
Jamani
Utafikiri wasio na ndoa hawaishi
Acha kuitukuza sana ndoa
Watu wanakosea kuwekeza mamilion na wanaanza upya
Ije iwe ndoa iliyoshikiliwa na karatasi???
Ni mind game tu hiyo
Unaweza ukaanza upya anytime
Acha kuitukuza ndoa
 
Pole sana punguza kyangalia simu fuga hata kuku
 
Ngoja tutoe stress kidogo...
Wewe sio mda utat*mbwa kisimi naona kinasimama to the climax!
20251121_165313.jpg
 
Kwenye msosi tia mafuta ya taa au nunua gari mbovu mpaka ipone hamu hakuna tena
 
Wapendwa kwanza poleni na msiba!
Mwenzenu naona kabisa nikiingia dhambini
Nishajaliwa watoto wangu wawili nikaona wananitosha kabisaa
Nikaweka kipandikizi mkononi….
Fast forward mwaka mmoja baadae kikaaanza kuniletea maudhi nimekitoa 3 month ago.

Miongoni mwa maudhi ni kutokua na hamu kabisa ya jambo letu…
So baada ya kutoa mwezi wa kwanza sikusikia chochote
Mwezi wa pili eeeeh nikaanza kupata hisia kali sana at the peak of ovulation
Jamani mwezi huu nusu ni bake mtoto wa mtu…
Na nimekuja kutafakari hili jambo leo kwamba chanzo ni nini cha hii hamu ndo nikapata jibu hilo…
Aisee ndugu zanguni mpaka nimeongea na Mungu leo…nitafanyaje?
Najiskia vibaya sana….maaana nilishafunganga huo mlango wa mambo ya wakubwa…kwa kifupi nina abstain
Baba mtu tumetengana kimkoa sababu ya kazi but we raise our kids together(sitaongela sana hili)
So most of the time nakua dry sell
Guys sihitaji dhambi hiyo lakini mambo yananizidia kweli kweli
Naomba ushauri
Ninategemea kuanza gym mapema sana mwakani ili niwe nachoka sanaaa
Kias kwamba nisiwaze kabisa huo ulimwengu ila at the moment nakua busy sana…. Ila nikipumzika kidogo tu aiseee ni moto moto
Hii hali sikua nayo before implants
So nahisi hormones bado hazijajibalance
Naombeni ushauri jamani nitabaka huku
unapingana na nature, toa nyapu hio wewe
 
Mungu pekee ndo aingilie kati
Akili ya kibinadamu imefika mwisho
Endelea kujizuia utakuja kuliwa sehemu mbaya, na mtu wa hovyo, nyakati mbaya na ngono zembe.
Achana na hadithi za kutishana za wadini.
Ngono siyo dhambi, uzinzi ndiyo dhambi. Uasherati (umalaya) ndiyo dhambi.
Tafuta au jiweke kwa mtu wa matamanio yako upunguze stress na kujiepusha na aibu ya kufanya niliyo kuonya hapo juu.
 
Hizi rebound za Feisal Salum. Ngoja niwahi inbobo na dawa.
 
Wapendwa kwanza poleni na msiba!
Mwenzenu naona kabisa nikiingia dhambini
Nishajaliwa watoto wangu wawili nikaona wananitosha kabisaa
Nikaweka kipandikizi mkononi….
Fast forward mwaka mmoja baadae kikaaanza kuniletea maudhi nimekitoa 3 month ago.

Miongoni mwa maudhi ni kutokua na hamu kabisa ya jambo letu…
So baada ya kutoa mwezi wa kwanza sikusikia chochote
Mwezi wa pili eeeeh nikaanza kupata hisia kali sana at the peak of ovulation
Jamani mwezi huu nusu ni bake mtoto wa mtu…
Na nimekuja kutafakari hili jambo leo kwamba chanzo ni nini cha hii hamu ndo nikapata jibu hilo…
Aisee ndugu zanguni mpaka nimeongea na Mungu leo…nitafanyaje?
Najiskia vibaya sana….maaana nilishafunganga huo mlango wa mambo ya wakubwa…kwa kifupi nina abstain
Baba mtu tumetengana kimkoa sababu ya kazi but we raise our kids together(sitaongela sana hili)
So most of the time nakua dry sell
Guys sihitaji dhambi hiyo lakini mambo yananizidia kweli kweli
Naomba ushauri
Ninategemea kuanza gym mapema sana mwakani ili niwe nachoka sanaaa
Kias kwamba nisiwaze kabisa huo ulimwengu ila at the moment nakua busy sana…. Ila nikipumzika kidogo tu aiseee ni moto moto
Hii hali sikua nayo before implants
So nahisi hormones bado hazijajibalance
Naombeni ushauri jamani nitabaka huku
Aliyewaroga kuhusu imani zenu nadhani ashakufa!
Mambo ya baiolojia na dhambi vinahusiana nini hapo?
Aliyekushauri gym au buisy mshukuru.
Fanya mojawapo kupunguza mihemko.
 
Pole naujua ukame...nyege ! Hii ni body satisfaction, ni kama chakula ama maji mda mwingine !
Ushauri! Tafuta mtu anayeeleweka, mtu mzima mwenzio, mzoe zoee, out za hapa na pale! sisi wanaume ni dhaifu, atajaa tu mwenyewe! Note, usijirahisishe sana atakuona malaya! Upe mwili kitu unapenda, play smart una watoto wanakuhitaji
 
Back
Top Bottom