Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

Hapa wajinga washajazana pm, ukute kuna ID zilizokomenti uhaini kule kwenye jukwaa la siasa ndo zinazowindwaa, hamna mdada mwenye upwiru atakuja JF kuanzisha uzi kuwa ana upwiru, wakati mtaani kina mzabzab wako kibao

Unaeza kuta ni fwele boy anatumia ID ya masai dada BICHWA KOMWE -
Mi nipo hapa muongo mmoja ulioita na nina marafiki wengi tu
Sihitaj hata kukutana na mtu
Usijali
 
Kuna sister hapa mtaani.
Kwanza kaolewa
Ila huyu jamaa anayekaa nae inasemekana ni mtu wa kanisani sana kiufupi ni mtumishi .

Sasa sijui shida nn huyu jamaa ila kiufupi sister kila nikiwa nae huwa anataka tupige story za ngono tuu.

Nikafatilia shida nn nikapata za chini chini kuwa jamaa huwa Hana mda wa kulomba...

Inaendelea.....
 
Ndoa gani hizo watu hamkulani mpk unataka ubake.. si umfuate mumeo alipo au mmetengana
 
Ukitumia njia za uzazi wa mpango iwe ni sindano au vidonge vyao vile lazima hamu ya tendo ipungue barabara na siku ukiacha kwa muda kuanzia mwezi hivi ni lazima utaona matamanio (hamu) maradufu. Yale makitu siyo kabisa ni basi tu...

Mwanaume ukijizuia na kufanya tendo bila sababu za msingi ni lazima utaingia kwenye mkumbo wa mashoga na mwanamke ukijizuia na tendo bila sababu za msingi ni lazima utaingia kwenye mkumbo wa wasagaji.

Huwezi kushindana na nature
Sio kweli kwamba mwanaume akiacha kumbato atajihusisha na ushoga
 
Kwamba na wewe ushawahi kupitia humo?
Binafsi simuelewi, tumeumbwa sijui billion ngapi duniani, kusubiri mmoja akupe furaha ni kuikosea nafsi yako🤪🤪
😁😁
Mimi nimetokea kumuelewa tu. Ni sawa na mtu anayekwambia kichwa kinaniuma sana, hata kama hujawahi kuumwa kichwa inabidi uyachukulie yale maumivu yake.

Mkuu kuna raha yake kuwa na mtu wako pesonol, yaani ni mwendo wa kuanzia mlipoishia.
 
Back
Top Bottom