Hali ya hewa ya Mbeya inakera sana

Tunamuomba mama hali ya hewa ya joto ifike freezing point ama melting point πŸ˜…πŸ˜…. Yaani 11Β°C inawaliza watu? Kwani humidity ikoje huko?
 
Tukuyu ndo baba lao kule busokelo 😹😹
Nilimwambia mama huku siji tena mwanzo na mwisho..!!

Na kweli sijarudi mpk leo.. huko makete sijui mara ya mwisho kukanyaga lini?!!
Kule mpk nguo zinaganda juu ya kamba. 🀣
Bora Tukuyu
Nkamu kuna huko Umalila ndani kule
Yaani kule aisee
Nadhani kunachuana na Tukuyu
 
Baridi lipo Kali kuanzia iwalanje hadi isyonje, ila kwa mwakaleli Kuna unafuu kiasi
 
Mbeya kanisani kila ibada ni Full suti tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
 
Tafta hela mitaa unayokaa ni yakishamba sana.

UKITAKA Jogging bara Bara ni ninyingi tu, ISANGA NA ILEMI, FOREST, TEKU, SOWETO, MAMA JOHN, VETA, ISUESYE, MWAMBENE , MAGEREZA NA META , UHINDINI NA KWINGINEKO hakuna madimbwi as Bara Bara ni za rami.

zaidi gym ni nyingi sana eg. SOWETO NA MWANJELWA.

Out nenda sehem zisizo na vumbi zipo nyingi sana ikiwepo town kule.

Bard ukiizoea ni unyama haikuzuii kufanya kitu.
Mvua hazinyeshagi 24/7
 
Ni kama unailaumu Serikali Mbeya kua na hali ya hewa ya aina hiyo πŸ˜‚
 
Tatizo ni miundombinu, barabara mbovu ndizo zinapelekea mvua, jua na baridi vyote kuboa.
 
Atiiiii 🀣🀣🀣
Hapa Nipo kwenye duvet mwenzio ujue πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Khaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”πŸ™ŒπŸΏ
Mimi Duvet nimelitoa juzi kati baada ya kuona baridi imezidi sana

Lisije kukuua kwa jotoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Zenji nilikuja last month kulikuwa na sherehe ya rafiki yangu.
Yaani joto.
Halafu eti unasema kuna baridiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila watu wa pwani mna mbwembweπŸ˜†πŸ˜‚
 
Miaka kadhaa nyuma nilienda field Mbeya ilikuwa july nakumbuka ikifika asubuhi naanza kulia😭😭😭maji upashe hujafika bafuni yamepoa utoke kwenda kupanda gari umefika stand mafuta yote yamepauka woiiiiiii
 
Mbeya hajuwafai nyie wenye Afya ya mgogoro.

By the way watu wanaoishi maeneo ya joto wanazeeka haraka kuliko tunaoishi Kanda za baridi.

Bora Dodoma Sasa nayo ipumzike maana wanaume wa Dar Kila kitu ni malalamiko
Mi sina afya mgogoro, Niko fit broh!
 
Miaka kadhaa nyuma nilienda field Mbeya ilikuwa july nakumbuka ikifika asubuhi naanza kulia😭😭😭maji upashe hujafika bafuni yamepoa utoke kwenda kupanda gari umefika stand mafuta yote yamepauka woiiiiiii
Ni kutembea na mafuta
Tena mafuta mgando yanayowekwa glycerin.
Vinginevyo unapauka kama kengeπŸ˜†
Miguu inachanika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…