Nenda nairobiWakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala yake watu ni watumwa wa Hali ya hewa kuanzia January Hadi September kila mwaka.
A. Kuanzia January Hadi April - mvua za muda mrefu na manyunyu yasiyo na ukomo
Changamoto:- Tope, maji kutuama hovyo kutokana ubovu wa miundombinu maeneo mbali mbali kama vile Kabwe, Mwanjelwa, Ituha n. k
- kukosa uhuru wa matembezi na mazoezi hasa jogging
- kuvaa masweta, jacket na Makoti muda mwingi
B. Kuanzia Juni Hadi Agosti - Baridi Kali sana na upepo ukiambatana na vumbi maeneo mengi ya mji.
- kiukweli ukiacha maeneo kama Njombe, Mafinga, Arusha n. K, basi Mbeya Kuna Baridi ya hovyo sana.
Mfano Leo ( jumatano, Julai 9, 2025) jotoridi ni 9°C
Changamoto: kama una afya mgogoro lazima uibuke na homa, kupauka na kukauka hovyo ngozi ( kuwa kijivu😂)
- muda wote uvae Sweta zito, jaketi au koti.
- matembezi hayafai kabisa, ni kukaa ndani baada ya kazi.
C. Mwezi Septemba Hadi Novemba- jua Kali na vumbi.
- ukivaa vizuri uwe na usafiri wako, usitembee umbali mrefu.
Pamoja na karaha za mkoa huu, Mbeya Ina Raha zake.
1. Vyakula bei nafuu.
Mfano, viazi ( vitamu na mviringo), matunda bwerere ( ndizi, parachichi, tikiti maji, n. k), mahindi, mihogo, Michele,
- Nyama hasa kitimoto Kwa walaji wake.
2. Starehe.
- viwanja muhimu Kwa wapenda starehe kama vile MBEYA PAZURI, NASOMA, MWAIRUBI, Baa maarufu kama JJ Njora n. k.
Toka nije Mbeya sijawahi kuoga maji ya baridi.Mimi bila maji ya moto sitoboi, kuna siku nilijitia uchizi nikaoga ya baridi acha nipige kelele 😹😹😹
Nikija Mbeya napiga passport size, kuoga siku ya kuondoka.. 🤣
Mhola nyanda. Ng'wababa! 😂gawiza maami?
Tolechobha gh'ana bageshi..
Limetokea njombeJana haikuwa kali sana kama leo
Yaani leo sijui imeibukia wapi hii baridi.
Mbeya ni mzuka sana, nilienda mara Moja tu kikazi, nikapapenda sana. Kila likizo yangu ya mwaka naenda zangu MbeyaWakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala yake watu ni watumwa wa Hali ya hewa kuanzia January Hadi September kila mwaka.
A. Kuanzia January Hadi April - mvua za muda mrefu na manyunyu yasiyo na ukomo
Changamoto:- Tope, maji kutuama hovyo kutokana ubovu wa miundombinu maeneo mbali mbali kama vile Kabwe, Mwanjelwa, Ituha n. k
- kukosa uhuru wa matembezi na mazoezi hasa jogging
- kuvaa masweta, jacket na Makoti muda mwingi
B. Kuanzia Juni Hadi Agosti - Baridi Kali sana na upepo ukiambatana na vumbi maeneo mengi ya mji.
- kiukweli ukiacha maeneo kama Njombe, Mafinga, Arusha n. K, basi Mbeya Kuna Baridi ya hovyo sana.
Mfano Leo ( jumatano, Julai 9, 2025) jotoridi ni 9°C
Changamoto: kama una afya mgogoro lazima uibuke na homa, kupauka na kukauka hovyo ngozi ( kuwa kijivu😂)
- muda wote uvae Sweta zito, jaketi au koti.
- matembezi hayafai kabisa, ni kukaa ndani baada ya kazi.
C. Mwezi Septemba Hadi Novemba- jua Kali na vumbi.
- ukivaa vizuri uwe na usafiri wako, usitembee umbali mrefu.
Pamoja na karaha za mkoa huu, Mbeya Ina Raha zake.
1. Vyakula bei nafuu.
Mfano, viazi ( vitamu na mviringo), matunda bwerere ( ndizi, parachichi, tikiti maji, n. k), mahindi, mihogo, Michele,
- Nyama hasa kitimoto Kwa walaji wake.
2. Starehe.
- viwanja muhimu Kwa wapenda starehe kama vile MBEYA PAZURI, NASOMA, MWAIRUBI, Baa maarufu kama JJ Njora n. k.
Ila kwa hapa MbeyaLimetokea njombe
Supa dengarazi. Ukijichanganya tu ukajifungia na hili jiko ndani ukafunga na madirisha yako ya vioo kinaumana - Carbon Monoxide poisoning. Uangalifu unahitajika!Koti sijavaa wala mzula, siwezi kuvaa makoti nikiwa nyumbani labda nikitoka
ila kamoto ndio nashindia😂kila siku lazima niote
Leo bora sijatoka kwenda popote
Baridi ya leo ingeniyosha huko nje
Pole na wewe .Pole mkuu, tuache na uzinzi pia, siyo nguruwe tu.
Hata mimi nikijaga dar hvo hvo siwezi kabisa kuoga oga hovyoMimi bila maji ya moto sitoboi, kuna siku nilijitia uchizi nikaoga ya baridi acha nipige kelele 😹😹😹
Nikija Mbeya napiga passport size, kuoga siku ya kuondoka.. 🤣
Mi nimesoma pale njoss mkuu...National hapo njombe mjini nimekaa mwaka mzima ni kuna baridi kinoma siku nikajichanganya kwenda makete nilijuta asee
Mtoto wa dar huyu akienda mwakaleli au Mbeya vijijini atapiga Simu kwao wake wamchukue,😀😀Mkuu umefika wilaya ya busokero?
Tukuyu ndo baba lao kule busokelo 😹😹Ila kwa hapa Mbeya
Hakujaifikia baridi iliyopo Umalila
Yaani kule ni kiboko🙌🏿
Kwa dar wewe by nature ni mchafu 😹🤣Hata mimi nikijaga dar hvo hvo siwezi kabisa kuoga oga hovyo
Cc Lucas Mwashambwa aione kwenye jalada ili aifikishe kwa mamaTunamuomba mama aondoe hii baridi daslam apeleke Mbeya, tunateseka.....
C(2) Umeandika vizuri sana.Hayo mambo ya baridi pambana nayo.Fumba macho nikuombee dua njema.🫸🫷😎Wakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala yake watu ni watumwa wa Hali ya hewa kuanzia January Hadi September kila mwaka.
A. Kuanzia January Hadi April - mvua za muda mrefu na manyunyu yasiyo na ukomo
Changamoto:- Tope, maji kutuama hovyo kutokana ubovu wa miundombinu maeneo mbali mbali kama vile Kabwe, Mwanjelwa, Ituha n. k
- kukosa uhuru wa matembezi na mazoezi hasa jogging
- kuvaa masweta, jacket na Makoti muda mwingi
B. Kuanzia Juni Hadi Agosti - Baridi Kali sana na upepo ukiambatana na vumbi maeneo mengi ya mji.
- kiukweli ukiacha maeneo kama Njombe, Mafinga, Arusha n. K, basi Mbeya Kuna Baridi ya hovyo sana.
Mfano Leo ( jumatano, Julai 9, 2025) jotoridi ni 9°C
Changamoto: kama una afya mgogoro lazima uibuke na homa, kupauka na kukauka hovyo ngozi ( kuwa kijivu😂)
- muda wote uvae Sweta zito, jaketi au koti.
- matembezi hayafai kabisa, ni kukaa ndani baada ya kazi.
C. Mwezi Septemba Hadi Novemba- jua Kali na vumbi.
- ukivaa vizuri uwe na usafiri wako, usitembee umbali mrefu.
Pamoja na karaha za mkoa huu, Mbeya Ina Raha zake.
1. Vyakula bei nafuu.
Mfano, viazi ( vitamu na mviringo), matunda bwerere ( ndizi, parachichi, tikiti maji, n. k), mahindi, mihogo, Michele,
- Nyama hasa kitimoto Kwa walaji wake.
2. Starehe.
- viwanja muhimu Kwa wapenda starehe kama vile MBEYA PAZURI, NASOMA, MWAIRUBI, Baa maarufu kama JJ Njora n. k.
Hpana naoga oga sema sio kiivo..Kwa dar wewe by nature ni mchafu 😹🤣