Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,541
- 44,295
Ubaya baridi lake linapausha kishenzi, vumbi ndo usiseme.
Unaumwa mafiiiNguruwe ni haramu astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah futa uzi wako huu uzi umekaa kikafiri
Ahahahaha nguruwe ni haramu asumaniUnaumwa mafiii
Hapajui Makete huyu, siku nilienda Ikonda miezi kama hii.Unapajua njombe
Mi nimekaa njombe miaka kama miwili hvi..Hapajui Makete huyu, siku nilienda Ikonda miezi kama hii.
Wale jamaa hata kuoga nadhani ni mtihani kwao, lile baridi ni balaa.
Lilianza Jana jioni linakera sana.Hii baridi ya leo Mbeya ni balaa 🙌🏿🙌🏿
Yaani ni hatari sana
Dar hakuna baridi, Ni upungufu wa joto.Tunamuomba mama aondoe hii baridi daslam apeleke Mbeya, tunateseka.....
Nkamu leo baridi ni kali sana na jua limewaka kinyongeWazaramo kwa kudeka 😹😹
Jana haikuwa kali sana kama leoLilianza Jana jioni linakera sana.
Kwamba Zanzibar nako kuna baridi?Pole mwaya
Sa me huko ndio nitakuweza. Baridi ya Zanzibar tu inanitoa makamasi 🥶.
😹😹 Na dar kuna baridi lile ambalo Mbeya ndo kipindi cha joto..!!Nkamu leo baridi ni kali sana na jua limewaka kinyonge
Nadhani Tukuyu huko na Umalila itakuwa mvua zimenyesha
Yaani baridi kali toka kunakucha.
Sisi huwa hatushiki mavi tunakaa nje ya choo na kuburuza matako kwenye kona ya nyumaHuenda ikawa huko hamnawi mkienda toilet 🤔🤔😁
Mbeya hajuwafai nyie wenye Afya ya mgogoro.Wakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala yake watu ni watumwa wa Hali ya hewa kuanzia January Hadi September kila mwaka.
A. Kuanzia January Hadi April - mvua za muda mrefu na manyunyu yasiyo na ukomo
Changamoto:- Tope, maji kutuama hovyo kutokana ubovu wa miundombinu maeneo mbali mbali kama vile Kabwe, Mwanjelwa, Ituha n. k
- kukosa uhuru wa matembezi na mazoezi hasa jogging
- kuvaa masweta, jacket na Makoti muda mwingi
B. Kuanzia Juni Hadi Agosti - Baridi Kali sana na upepo ukiambatana na vumbi maeneo mengi ya mji.
- kiukweli ukiacha maeneo kama Njombe, Mafinga, Arusha n. K, basi Mbeya Kuna Baridi ya hovyo sana.
Mfano Leo ( jumatano, Julai 9, 2025) jotoridi ni 9°C
Changamoto: kama una afya mgogoro lazima uibuke na homa, kupauka na kukauka hovyo ngozi ( kuwa kijivu😂)
- muda wote uvae Sweta zito, jaketi au koti.
- matembezi hayafai kabisa, ni kukaa ndani baada ya kazi.
C. Mwezi Septemba Hadi Novemba- jua Kali na vumbi.
- ukivaa vizuri uwe na usafiri wako, usitembee umbali mrefu.
Pamoja na karaha za mkoa huu, Mbeya Ina Raha zake.
1. Vyakula bei nafuu.
Mfano, viazi ( vitamu na mviringo), matunda bwerere ( ndizi, parachichi, tikiti maji, n. k), mahindi, mihogo, Michele,
- Nyama hasa kitimoto Kwa walaji wake.
2. Starehe.
- viwanja muhimu Kwa wapenda starehe kama vile MBEYA PAZURI, NASOMA, MWAIRUBI, Baa maarufu kama JJ Njora n. k.Ney
Jirani na MaketeMkuu umefika wilaya ya busokero?