Hali ya hewa ya Mbeya inakera sana

Nenda nairobi
 
Mimi bila maji ya moto sitoboi, kuna siku nilijitia uchizi nikaoga ya baridi acha nipige kelele 😹😹😹

Nikija Mbeya napiga passport size, kuoga siku ya kuondoka.. 🤣
Toka nije Mbeya sijawahi kuoga maji ya baridi.
Naoga maji ya moto kama ya kunyonyolea kuku😂😂😂😂
Hata kuwe na jua vipi
 
Mbeya ni mzuka sana, nilienda mara Moja tu kikazi, nikapapenda sana. Kila likizo yangu ya mwaka naenda zangu Mbeya
 
Koti sijavaa wala mzula, siwezi kuvaa makoti nikiwa nyumbani labda nikitoka
ila kamoto ndio nashindia😂kila siku lazima niote

Leo bora sijatoka kwenda popote
Baridi ya leo ingeniyosha huko nje
Supa dengarazi. Ukijichanganya tu ukajifungia na hili jiko ndani ukafunga na madirisha yako ya vioo kinaumana - Carbon Monoxide poisoning. Uangalifu unahitajika!
 
Pole mkuu, tuache na uzinzi pia, siyo nguruwe tu.
Pole na wewe .
Ushawahi skia mtu anasamehewa akila nguruwe .
Yaan mtu anaomba toba kisa kala ngurue..

Unajua adhabu ya mtu ambaye amakela nguruwe....?
 
Mimi bila maji ya moto sitoboi, kuna siku nilijitia uchizi nikaoga ya baridi acha nipige kelele 😹😹😹

Nikija Mbeya napiga passport size, kuoga siku ya kuondoka.. 🤣
Hata mimi nikijaga dar hvo hvo siwezi kabisa kuoga oga hovyo
 
National hapo njombe mjini nimekaa mwaka mzima ni kuna baridi kinoma siku nikajichanganya kwenda makete nilijuta asee
Mi nimesoma pale njoss mkuu...
Kuna jamaa angu alikua anasoma shule gani ila ipo njombe ndani ndani aiseeee ile shule kwanza namba wna esabu sa sita mchana
 
C(2) Umeandika vizuri sana.Hayo mambo ya baridi pambana nayo.Fumba macho nikuombee dua njema.🫸🫷😎
 
Kwa dar wewe by nature ni mchafu 😹🤣
Hpana naoga oga sema sio kiivo..
Unajua kama sasa kwa hilo bard mi siogagi niseme tuu ukweli...

Ila sio mchafu ujue nawakaga et unikute na mabuti yangu yale full jinsi kamatia chini aaaaah utanitaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…