pole sana,mie hata hakuna nalojua,naangalia tu hapa.Sidhani kama unayosema yana ukweli ndani yake Mshinga huyu mtu alonimention mimi simjui wala hanijui kwa namna yoyote ile kwa maana hio sina siri yoyote yakunianika na alinimention anyways,Ameweka katika judgement yake kwamba kwasababu sikubali kudhalilishwa basi nitakuwa mjuaji na nipo kama gogo kitandani!Aisee sitokaa mtu anitusi ninyamaze kimya NEVER EVER!
nilijua hapa ndipo utakapoishia lkn wafikiri kosa hurekebishwa kwa kosa??
una hasira za nn kwang? wew tulia kmya tu mkuu
anachosema gfsonwin ni kweli kabisa na hasa wadada wa kutoka kule kaskazini ndio wanaongoza kwa kuwa offended.
Nakumbuka miaka ile mmu ilikuwa ni sehemu ya kujifunza mengi sana kuhusu mahusiano, lakini siku hizi elimu inayopatikana sio kama zamani.
hahah...
Inakuwaje maisha haya fake yanawafanya muwe so concerned kiasi hiki bandugu...
?? umeniacha solemba. sijakuelewayou are unshared shell enh!!
But ina uwezo wa kutengeneza multiple structures
wala sio kwamba tuko concerned ila ina kera pale mwanamke anapojadiliwa tena kwa mabaya tuuu.
Kuna memba mmoja yy alinijibu wazi kwamba wanawake ni chombo cha starehe so kutujadili ni lazima ,manake ndio starehe yenu
ukisema kuna lundo za mada zenye kujenga hapa mmu tutabishana hadi kesho manake kama huamini rudi nyuma miaka 2 ilopita soma mada zilizokuwa hapa mmu linganisha na sasa.
Sawa siwez kulazimisha hali ibaki kama zamani lkn watu wanapaswa kujifunza in a more positive way kuliko ilivyo hiv sasa.