Hali ya Hatari: Ghorofa Dar litaanguka mda wowote kuanzia sasa!

Nadhani kwenye kazi za kitaalamu tungewaachia wataalam wa fani hizo wakakomenti wenyewe mkuu Ng'wanangwa,weupe wa jengo hauna uhusiano na nondo wala cement,isitoshe,nondo huwezi kuziona jengo likishajengwa labda ufanye x-rays au destructive test.
Nilitegemea kuona hapa viashiria vilivyopelekea kuonyesha kuwa jengo litaanguka wakati wowote,ikiwemo labda kuinama(trend ya kuinama),kumomonyoka kama dalili za kuzidiwa uzito,kuonekana kuzama (settlements) na vitu vinavyoambata na hivyo.

Yericko Nyerere naomba uje utupe viashiria vya jengo hilo kudondoka kitaalamu baada ya kumjibu Tume ya Katiba kuwa ndiyo kazi yako ili Mamzalendo nae awe kajibiwa.
 
Last edited by a moderator:
Haya majanga sasa! Hayo ndo mambo ya utawala wa CCM! Kwa nini tucwapige chini? Mimi naamini inawzekana, vijana tuungane!
 
Kwani limeshaua watu?Mwenye habari anijuze maana kama halijaua watu sio tatizo kwa Ccm maana Jk karibu mwezi wote hajaenda kutoa rambirambi zaidi ya wananjeshi wa Darfur...Mawaziri wanataka kutembelea wafiwa hivyo subirini kidogo jamani mbona mnaharaka hivi....Nchimbi na Tibaijuka hawajauza sura kwenye misiba ya maporomoko hivyo jikusanyeni karibu ya Jengo hapo chini watanzania wenzangu
Mkuu, Mh.Nchimbi na Prof.Tiba wanahusika kivipi? Prof.Tiba mbona alitoa amri tena kwa mahandishi kwamba jengo lililo jengwa bila ya kuzingatia viwango LIVUNJWE, sina shaka unakumbuka kilicho fuatia - Meya na viongozi wengine wakamshupalia mama wa watu wahusika wakakimbilia mahakamani wakiwa na lengo la kumkwamisha, sasa katika utendaji kazi wa design hii ulitegemea Prof.Tiba afanye mihujiza GANI.
 
wewe kwako wagonjwa wa cancer na watu wazima wanaofanya kaz.. bora wagonjwa eeh... me naona bora hilo liwadungue kwanza ndio mtathamini wamachinga na washona viatu wa mali na asia.

hivi tunaona jinsi wengine wanavyoona?
 
Hapa Meck Sadiq anasubiria rambi rambi na misaada mbalimbali apokee.
 
na wewe acha umbumbumbu wa kutofuatilia habari vzuri.. lilikuwa kwenye ujenz sasa limesimamishwa kutokana na hatar ya kudondoka, watu wataishije humo?
Ni jengo la gorofa 15 la mtaa wa Asia na Mali, Posta

Hofu hiyo ya kuanguka kwa jengo kumepelekea uongozi wa hospitali ya Ibrahim Haji kufunga huduma zake!

Mamlaka zinazohusika tunaziomba zichukue hutua mara moja kunusuru maafa mengine!

Hapo kwenye RED ndivyo alivyoleta mleta mada hivi ingekuwa ni wewe ungeelewa ni ghorofa gani linalozungumziwa na ikizingatiwa hupo mbali na DSM
 
Ha ha haa! Hiyo kali, kwamba tayari tume ya kuchunguza kuporomoka kwa ghorofa hilo imeshateuliwa!
 
Ni jengo la gorofa 15 la mtaa wa Asia na Mali, Posta

Hofu hiyo ya kuanguka kwa jengo kumepelekea uongozi wa hospitali ya Ibrahim Haji kufunga huduma zake!

Mamlaka zinazohusika tunaziomba zichukue hutua mara moja kunusuru maafa mengine!


Kandarasi ya ujenzi ilipewa kampuni gani??

YECCO??
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Nilisikiaga eti kukiwa na Upepo mkali, hili jengo hua linanesaga kama Mti wa Mpapai!!!
 
dinner na kupeana mkono na mkuu wa nchi pale magogoni kunanukia kwa baadhi yetu, kaa mkao wa kula.
Njia ya kuomba misaada hio kwa wafiwa, ccm inasubiri kunyoosha mikono wagawane, mungu tustiri wee na janga hili. Dictector ccm
 
Kandarasi ya ujenzi ilipewa kampuni gani??

YECCO??
CC Ritz
190472_208842835794290_7369612_n.jpg
 
Ni jengo la gorofa 15 la mtaa wa Asia na Mali, Posta

Hofu hiyo ya kuanguka kwa jengo kumepelekea uongozi wa hospitali ya Ibrahim Haji kufunga huduma zake!

Mamlaka zinazohusika tunaziomba zichukue hutua mara moja kunusuru maafa mengine!
HALI YA JENGO
 
Hofu hiyo ya kuanguka kwa jengo kumepelekea uongozi wa hospitali ya Ibrahim Haji kufunga huduma
Yeriko wahi na wewe kimbia Na hizo drip na huo mti unaoshikilia hilo chupa la maji ya sindano ya drip uliyochomwa usisubiri wachomoe litakuangukia
 
Back
Top Bottom