Inategemeana na vitu Kama mvua,mbegu,palizi,Aina ya udongo nk.hakuna jibu sahihi hapo.Mfuko mmoja unatoa magunia mangapi?
Box?watafanya Kama kawaida(wezi)CCM oyeeeeeeee Tukutane 2025 kwenye box
kila mtu alitegemea hivyo maana ukishagusa tozo kwenye mafuta kuna impact kubwa sana kwa bidhaa nyingine kwani mafuta yanagusa karibu kila sekta ya uzalishaji.Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini.
Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini.
Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili kununua mbolea mfuko mmoja .
What a failed state!!!
Hii ni pumba kama pumba zingineTatizo la bei ndogo ya mahindi ni tatizo la miss divesification/ crop miss rotation au mono cropping kwa lugha rahisi. Hii inatokea pale wakulima wengi wanapoamua kulima zao la aina moja. Iwapo wakulima wengi wangejikita kwenye kilimo cha fursa, huenda wangelima mazao kama alizeti na ufuta ambayo yana bei nzuri sokoni na kulima mahindi kidogo kwa ajili ya chakula.
ukiwaza hivo tu unaomba mungu Alete Hamza hata 6 tu katk nchi hiiBox?watafanya Kama kawaida(wezi)
Inategemea na eneo kuna sehemu zingine kilimo ni mpunga tuTatizo la bei ndogo ya mahindi ni tatizo la miss divesification/ crop miss rotation au mono cropping kwa lugha rahisi. Hii inatokea pale wakulima wengi wanapoamua kulima zao la aina moja. Iwapo wakulima wengi wangejikita kwenye kilimo cha fursa, huenda wangelima mazao kama alizeti na ufuta ambayo yana bei nzuri sokoni na kulima mahindi kidogo kwa ajili ya chakula.
Hivi mkuu unayaandika haya ukiwa TZ kweli?hiyo alizeti na ufuta ni mikoa mingapi ambayo inastawi vizuri?kwani sio kama mahindi ambayo karibu nchi nzima unaweza kulima?unajua kilimo cha kitanzania, wakulima wengi ni wale ambao kulima mazao yanayohitaji uwekezaji mkubwa hawawezi, na ni kutokana na umasikini, wa kulaumiwa ni serikali tu haina lengo la kumsaidia mkulima, na hiyo NFRA, nayo ni mzigo tu toka 2015, imekuwa ikinunua karibia robo tu ya mazao kulinganisha na miaka ya nyuma kutokana na kukosa pesa, na hata wanaponunua (kukopa) bei yao ni kandamizi kweli!!!Tatizo la bei ndogo ya mahindi ni tatizo la miss divesification/ crop miss rotation au mono cropping kwa lugha rahisi. Hii inatokea pale wakulima wengi wanapoamua kulima zao la aina moja. Iwapo wakulima wengi wangejikita kwenye kilimo cha fursa, huenda wangelima mazao kama alizeti na ufuta ambayo yana bei nzuri sokoni na kulima mahindi kidogo kwa ajili ya chakula.
Mkuu kwani kwenye royal tour kuna makusanyo kule, au matumiziii..........Sii mbaya, tukimaliza royal tour mfuko huo utashuka mpk elfu 40.Chapeni kazi.
Sarcasm mkuu.Mkuu kwani kwenye royal tour kuna makusanyo kule, au matumiziii..........