Hali si njema: Pengine Jiwe anahitaji dua/sala zaidi

Hali si njema: Pengine Jiwe anahitaji dua/sala zaidi

Kuna mahali kwenye bandiko lako umekiri uwepo wa hujuma, hizo hujuma zinafanywa na kina nani , na kwa malengo gani, na je ni sahihi kuacha hizo hujuma ziendelee?? kama watanzania wazalendo tunatakiwa kufanya nini kwa hao wanaotuhujumu??
Wanaohujumu nchi na kuifisidi wanajulikana lakini cha ajabu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi yao. TUNATAKA KUAMINISHWA MATATIZO YANASABABISHWA NA WALIO NJE YA NYUMBA ILHALI UVUNDO UKO NDANI.
Viunu na ushangiliaji usio na tija vinatugharimu na vitatugharimu zaidi
 
Ikishamshinda itarekebishwa karne nzima. Tukifanikiwa kuondoa uzwazwa wa kuishabikia CCM tutafanikiwa.

Pili CCM ilazimishwe kuviachia vyombo vya Dola. Ibaki kuwa chama cha siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hawa Chama Cha Mashetani bila polisi wanakaa asubuhi tena MAPEMA tu! Hawajiamini hao hata wakati wanapoosha koro.dani zao wenyewe bado wana mashaka nazo!!😀
 
Mpaka siku vyombo vya dola vitakavyoweza kutengana na ccm.
Ndipo hali itabadilika. Ila kwa hali ilivyo inaonyeshavyombo viko controlled na chama. Hilo ni kosa baya sana kwa nchi yoyote
Kula tano mwanangu, kitendo cha ccm kushikana na vyombo vya dola ndio kunachangia ccm kushindwa kutekeleza majukumu yake na hata ikikosea hamna wa kuitoa ili kuweka wenye uwezo, kwani vyombo vya dola vinadhani vina jukumu la kuilinda ccm isipoteze dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kenye kuto ku admit ndipo kuna muumiza. Always huwa anatafuta mtu wa kumbebesha lawama, sasa kwa design hiyo.. hata last. Atakuwa exposed muda si mrefu
The problem with him ni kwamba hashauriki na haadmit kuteleza,elents za kiburi na kutojali coz hafeel maumivu popote,sijui hatima itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nini hiki umeandika😕😕😕?????

umeishiwa vibaya na nyuzi zako za kidaku siku hizi😕

rudi nyumbani ujenge nchi yako ughaibuni huko naona uko idle😕
 
......hata kama kuna hujma vyombo vya dola kuvamia kijambazi biashara ya MTU ni HAKI?
Kuna mahali kwenye bandiko lako umekiri uwepo wa hujuma, hizo hujuma zinafanywa na kina nani , na kwa malengo gani, na je ni sahihi kuacha hizo hujuma ziendelee?? kama watanzania wazalendo tunatakiwa kufanya nini kwa hao wanaotuhujumu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana, hii hali ikiachwa iendelea wengi hatutashangaa hii nchi ikiwa a failed state! Yaani tutakuwa zaidi ya 'Zimbabwe,Somalia and Venezuela combined'...sijui tutakimbilia wapi, nikiziangalia nchi zinazotuzunguka, dah! labda Burundi at least wana maparachichi, tutakula hayo hayo. Ila watu walisema tena mapema sana, at least wengine wana clear conscience.
 
Kuna mtu kanitumia taarifa kuhusu yaliyojiri kwenye "msako wa dola" kwenye bureaux de change, nimebaki mdomo wazi.

Kilichofanywa na wahusika (inasemekana ni mchanganyiko wa polisi, wanajeshi na "watu waliovaa kiraia") sio cha kistaarabu. Kwa sababu hata kama kuna genuine concerns kuhusu maduka ya kubadilishia fedha za kigeni kuhujumu uchumi, lazima taratibu zifuatwe.

Presumption of innocence ni muhimu sana kwa sababu imagine mfanyabiashara mwadilifu anapovamiwa kama jambazi kisha ikabainika hakufanya kosa, kwanini huyu mtu asiichukie serikali/nchi yake na huenda kutamani kulipa kisasi huko mbeleni?

Maji hufuata mkondo. Magufuli anaamini kuwa hata mbu akitua kwenye korodani basi kitumike kifaru kumuangamiza. Unfortunately, mara zote matumizi ya nguvu bila akili huzaa matokeo hasi.

Twawajua vema polisi wetu. Hivi wakivamia duka la fedha za kigeni, kuna uwezekano wowote wa mwenye duka kutokutwa na hatia? I mean hawa wahuni wamebobea katika kubambikizia watu kesi sambamba na kupora mali za raia.

Ni rahisi kulaumu. Ni rahisi kushutumu. Ni rahisi kutukana. Lakini si lawama wala shutuma au matusi yanayoweza kuleta ufumbuzi wa tatizo. Tufike mahala tukubaliane kuwa Rais wetu anahitaji msaada. In fact mwenyewe amekuwa mahiri wa kuomba msaada wa sala/dua zenu. Something is seriously wrong with Jiwe. Na nina wasiwasi kuwa taifa litapofika mahala pa kuelewa hali halisi, itakuwa too late kurekebisha damage iliyokwishafanyika.



View attachment 1034210
Nchi imeshamshinda Magufuli. Sasa anatapatapa tu
 
Ndio maana jana mtaa wa samora niliona maaskari wenye silaha ktk bureau kama 2 nje!
Yajayo yanafurahisha!

Watakuwa wameenda kuzuia shilingi isiporomoke.Ndo madhara ya kusomesha no lzm tugawane maumivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom