Hali si njema: Pengine Jiwe anahitaji dua/sala zaidi

Hali si njema: Pengine Jiwe anahitaji dua/sala zaidi

Ukiingia kwenye mitandao post zinazoandikwa na watu utafikili nchi imefika mwisho yaani Kila siku wanatia watu uoga juu ya uongonzi uliopo lakini ukiwa mtaani maisha yanaenda,kiukweli ni Tanzania pekee ndio fedha za kigeni zinafanya matumizi kiholela nendeni South Africa muone wanavyodhibiti fedha za kigeni ni benki tu ndio sehemu ya kubadilishia fedha za kigeni kiukweli bureau de change baadhi hutumika kuiba fedha za kigeni na kutoroshwa. Na raisi tunashukuru amejua hilo japo kwa namna njia inayotumika inaweza kuwa sio nzuri kwa baadhi ya watu kiukweli hayo maduka hutumika kutorosha fedha za kigeni.Tena wengine huzipaki kwenye maiti wakati wakiwarudisha ndugu zao waliokufa nchini kurudi kwao acheni ujinga uchumi unajengwa kwa kuchukua hatua wataalamu wa Vita wanasema '"casuality are necessary ""

Usikute ww ni.mmoja wa walioamini serekali inaweza kununua korosho kwa siku 2 maana rais alisema hela ipo. Huenda wewe ni katika wale walioaminika kwamba kuna kampuni ya Kenya itanunua korosho kwa $120m kwakuwa uliwaona mawaziri wakitiliana saini na hiyo kampuni. Ulitaka ukipita mitaani ukute watu wamekufa wote ndio ujue hali sio sawa? Enzi za Nyerere uchumi ulivyoharibika na wananchi kuvaa viraka shughuli huko mitaani zilisimama? Ukiona nchi inauzia walalahoi plastiki card kwa 20,000 hapo ujue kuna shida. Sishangai ww ni wale wasomi mlioko maofisini msiojua lolote zaidi ya kusubiri mshahara mwisho wa mwezi.
 
Hapa usiponde au kusifia kisiasa tu. Assume wewe ni raisi, halafu thamani ya Tsh ya nchi inashuka kila siku. Halafu unafahamu kuwa wafanyabiashara wa fedha za kigeni wananunua na kuzuia(buy and hold) unafanyaje kwa mda huo mfupi angalau kupunguza damage wakati ukiangalia njia sahihi za muda mrefu za kustabilize tsh?
 
Zile kauli kwamba huyu jamaa sio Mtanzania zinaweza kuwa na ukweli.[/QUOTE

Isijekuwa mapandikizi kuvuruga nchi yetu maana Jirani si MTU mzuri kafungulia MAJI ya chooni banda kaelekezea sebuleni kwetu.Tabia za kitanzania zinafahamika.
 
Vile jiwe anavyojenga nchi![emoji4][emoji4][emoji4]
155074.jpeg
 
Hapa usiponde au kusifia kisiasa tu. Assume wewe ni raisi, halafu thamani ya Tsh ya nchi inashuka kila siku. Halafu unafahamu kuwa wafanyabiashara wa fedha za kigeni wananunua na kuzuia(buy and hold) unafanyaje kwa mda huo mfupi angalau kupunguza damage wakati ukiangalia njia sahihi za muda mrefu za kustabilize tsh?

Naona mmefunga bureau sababu watu wanapiga Picha wanapost dola marchi ingefika 2500 mabenk ni rahisi kuyapangia rate iwe hata 1500.Uchumi unakua Kwa kasi sana viwanda 3000 vishajengwa iweje dola ipande,mabenk sio rahisi kutumiwa na mabeberu kama bureau. Atakae tukwamisha atakwama yye atujaribiwi tuko kwenye Right track
 
Naona mmefunga bureau sababu watu wanapiga Picha wanapost dola marchi ingefika 2500 mabenk ni rahisi kuyapangia rate iwe hata 1500.Uchumi unakua Kwa kasi sana viwanda 3000 vishajengwa iweje dola ipande,mabenk sio rahisi kutumiwa na mabeberu kama bureau. Atakae tukwamisha atakwama yye atujaribiwi tuko kwenye Right track
Sihusiki kwenye maamuzi. Ila kwa maoni yangu unapokuwa na tatizo na halina ufumbuzi wa haraka ni bora kusimama mwenyewe kuliko kusimama na watu wanaokuongezea tatizo.

Kuna tatizo la kushuka thamani ya Tsh, bureau wanaongeza tatizo kwa kununua dola na kuzizuia(buy and hold) ili zipade thamani zaidi dhidi ya Tsh. Kuwafugia biashara hakutazuia tatizo kabisa lakini kutapunguza wale wanaolikimbiza tatizo liwe kubwa haraka haraka.

Mfano ww ni Dr upo kwenye operation room, umeshakosea na unaona mgonjwa anaenda kupoteza maisha, upo unajaribu kuokoa jahazi, manesi badala ya kukupa Vifaa sahihi vya kuokoa maisha ya mgonjwa wao wanakupa tofauti na ulichoomba, nipe kisu-wanakupa mkasi, hapana kisu-wanarudisha mkasi wanakupa kufuli la mlango wa thieta, unafanyaje?
 
Amezungumzia uwezekano wa kuwepo hujuma kwa baadhi ya wafanya biashara which is totally different from kukiri uwepo wa hujuma.
The main issue is why isn't the 'system' using normal procedures which won't scare innocent business personnel? These military ambushes are creating a lot of negativity to the business environment.
Kuna mahali kwenye bandiko lako umekiri uwepo wa hujuma, hizo hujuma zinafanywa na kina nani , na kwa malengo gani, na je ni sahihi kuacha hizo hujuma ziendelee?? kama watanzania wazalendo tunatakiwa kufanya nini kwa hao wanaotuhujumu??
 
Kaka jiwe nchi imemshinda ameamua kutumia njia za kimakaveli kutawala
Uchumi unaenda arijojo,kibaya zaidi njia anazotumia zinakoleza moto zaidi ya kuupoza

Lissu aliposema kuwa kuna zaidi ya wafanyabiashara 200 acccount zao ziliingiliwa kibabe na kukombwa fedha huku wakipigwa biti la kupewa kesi zisizo na dhamana za uhujumu uchumi nianaanza kumuamini!.

It is totally a thuggish way of doing things!!
That's the only way you can deal with thugs.
 
.....nani kakwambia atatoka baada ya mihula miwili unadhani biashara ya binadamu aliyofanya unadhani aifanya kwa bahati mbaya? anaongeza praise team ili akilianzisha tutakaompinga tuwe wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini atatoka, IMANI NI KUWA NA HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO, NA BAYANA YA MAMBO YASIYOONEKANA...!!
Nikiamini hatatoka, nitamwongezea nguvu ya kuendelea kutawala maana nimeamini hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom