Hali si njema: Pengine Jiwe anahitaji dua/sala zaidi

Hali si njema: Pengine Jiwe anahitaji dua/sala zaidi

Ikishamshinda itarekebishwa karne nzima. Tukifanikiwa kuondoa uzwazwa wa kuishabikia CCM tutafanikiwa.

Pili CCM ilazimishwe kuviachia vyombo vya Dola. Ibaki kuwa chama cha siasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kula tano mwanangu, kitendo cha ccm kushikana na vyombo vya dola ndio kunachangia ccm kushindwa kutekeleza majukumu yake na hata ikikosea hamna wa kuitoa ili kuweka wenye uwezo, kwani vyombo vya dola vinadhani vina jukumu la kuilinda ccm isipoteze dola.
 
Massive failure ya Jiwe inadhihika kila Siku, kila mahali .Hatua zichukuliwe nchi inaangamia .
 
Huenda ana ugonjwa wa akili unaohitaji matibabu ya haraka huku taratibu za kikatiba zikifuatwa ili tuwe na rais wa mda

Wengi shida huwa ni malezi utotoni, kumuwweka mtoto Mdogo au Mchanga begani kifuani pana maana kuu sana kumsaidia mtoto kuwa MTU.Mtoto yeyeto akilelewa kikatili kwa kunyimwa Upendo akiwa mkubwa huwa dikteta. Thus madikteta wote duniani walikosa malezi bora utotoni.
 
Ndio maana jana mtaa wa samora niliona maaskari wenye silaha ktk bureau kama 2 nje!
Yajayo yanafurahisha!
 
Kuna mtu kanitumia taarifa kuhusu yaliyojiri kwenye "msako wa dola" kwenye bureaux de change, nimebaki mdomo wazi.

Kilichofanywa na wahusika (inasemekana ni mchanganyiko wa polisi, wanajeshi na "watu waliovaa kiraia") sio cha kistaarabu. Kwa sababu hata kama kuna genuine concerns kuhusu maduka ya kubadilishia fedha za kigeni kuhujumu uchumi, lazima taratibu zifuatwe.

Presumption of innocence ni muhimu sana kwa sababu imagine mfanyabiashara mwadilifu anapovamiwa kama jambazi kisha ikabainika hakufanya kosa, kwanini huyu mtu asiichukie serikali/nchi yake na huenda kutamani kulipa kisasi huko mbeleni?

Maji hufuata mkondo. Magufuli anaamini kuwa hata mbu akitua kwenye korodani basi kitumike kifaru kumuangamiza. Unfortunately, mara zote matumizi ya nguvu bila akili huzaa matokeo hasi.

Twawajua vema polisi wetu. Hivi wakivamia duka la fedha za kigeni, kuna uwezekano wowote wa mwenye duka kutokutwa na hatia? I mean hawa wahuni wamebobea katika kubambikizia watu kesi sambamba na kupora mali za raia.

Ni rahisi kulaumu. Ni rahisi kushutumu. Ni rahisi kutukana. Lakini si lawama wala shutuma au matusi yanayoweza kuleta ufumbuzi wa tatizo. Tufike mahala tukubaliane kuwa Rais wetu anahitaji msaada. In fact mwenyewe amekuwa mahiri wa kuomba msaada wa sala/dua zenu. Something is seriously wrong with Jiwe. Na nina wasiwasi kuwa taifa litapofika mahala pa kuelewa hali halisi, itakuwa too late kurekebisha damage iliyokwishafanyika.

View attachment 1034210
Guns are everything, they can easily solve problems with regret.
 
Sidhani maombi ya kuombea Mawe yatafanya kazi! Mawe haƴana roho wa Mungu!
 
Kitu wasichojua hakuna mtu ambae atabaki salama iwe jeshini au uraiani. Akimaliza uraini lazima atafute ni kwa jinsi gani anaweza weka mapandikiz jeshin afanye atakavyo. Hapo ndo mwanzo wa kusikia luten flan kapigwa shaba mara hili mara lile panga pangua mpaka kikosi kikamilike. Akifanikiwa kuweka top layer yote yake. Hapo sasa lazima ajitangaze mtawala wa maisha hapo hakutakuwa na cha mkapa wala nani.
Njia rahisi ni kudhibiti mapema kabla hali haijawa mbaya jaman. Leo unaweza hisi hutaguswa kumbe muda wako bado na hakuna kitu kibaya kuishi nchi ya watu jaman tena ukiwa mkimbizi. Aman yetu inapotea hivihiv sabab ya matumbo yetu. Hivi vurugu zikitokea wewe kama mkurugenz au mkuu wa wilaya au unadhan utaishi kwa aman.leo uko bungeni fujo zikitokea unadhan hiyo 300mil itatosha kuanzisha maisha hukl nje na ukawa na aman
Ni hatari sana uchumi unapumulia mashine ukivurugika sijui tutakua wageni wa Nani
Sio Kila kiongozi ni baraka wakati mwingine inakua ni adhabu
 
Kuna mahali kwenye bandiko lako umekiri uwepo wa hujuma, hizo hujuma zinafanywa na kina nani , na kwa malengo gani, na je ni sahihi kuacha hizo hujuma ziendelee?? kama watanzania wazalendo tunatakiwa kufanya nini kwa hao wanaotuhujumu??

Hujuma! Wafanya biashara kutafuta unafuu kodi; siyo lazima iwe ni hujuma. Na mambo haya huongezeka maradufu katika mazingira ambayo mifumo ya nchi haifanyi kazi na badala yake watu hukaa kusubiri maagizo kutoka juu.
 
Acheni nchi inyooshwe kwanza. Acheni kulialia. Nchi ilikuwa imepinda. Ikibidi hata bank zikaguliwe zote,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom