Hali si njema: Pengine Jiwe anahitaji dua/sala zaidi

Kuna mtu kanitumia taarifa kuhusu yaliyojiri kwenye "msako wa dola" kwenye bureaux de change, nimebaki mdomo wazi.

Kilichofanywa na wahusika (inasemekana ni mchanganyiko wa polisi, wanajeshi na "watu waliovaa kiraia") sio cha kistaarabu. Kwa sababu hata kama kuna genuine concerns kuhusu maduka ya kubadilishia fedha za kigeni kuhujumu uchumi, lazima taratibu zifuatwe.

Presumption of innocence ni muhimu sana kwa sababu imagine mfanyabiashara mwadilifu anapovamiwa kama jambazi kisha ikabainika hakufanya kosa, kwanini huyu mtu asiichukie serikali/nchi yake na huenda kutamani kulipa kisasi huko mbeleni?

Maji hufuata mkondo. Magufuli anaamini kuwa hata mbu akitua kwenye korodani basi kitumike kifaru kumuangamiza. Unfortunately, mara zote matumizi ya nguvu bila akili huzaa matokeo hasi.

Twawajua vema polisi wetu. Hivi wakivamia duka la fedha za kigeni, kuna uwezekano wowote wa mwenye duka kutokutwa na hatia? I mean hawa wahuni wamebobea katika kubambikizia watu kesi sambamba na kupora mali za raia.

Ni rahisi kulaumu. Ni rahisi kushutumu. Ni rahisi kutukana. Lakini si lawama wala shutuma au matusi yanayoweza kuleta ufumbuzi wa tatizo. Tufike mahala tukubaliane kuwa Rais wetu anahitaji msaada. In fact mwenyewe amekuwa mahiri wa kuomba msaada wa sala/dua zenu. Something is seriously wrong with Jiwe. Na nina wasiwasi kuwa taifa litapofika mahala pa kuelewa hali halisi, itakuwa too late kurekebisha damage iliyokwishafanyika.

View attachment 1034210
Huu nao ni "MCHOCHEO" 😀😀😀😳
 
Tangu utudanganye dreamliner INA Shida were jamaa umekubuhu kwa uongo na uzushi
 
Kuna mahali kwenye bandiko lako umekiri uwepo wa hujuma, hizo hujuma zinafanywa na kina nani , na kwa malengo gani, na je ni sahihi kuacha hizo hujuma ziendelee?? kama watanzania wazalendo tunatakiwa kufanya nini kwa hao wanaotuhujumu??
Tatizo lenu mnaotetea na kupongezana humu,ni kwamba uelewa ndogo sana. Ameandika mahali kuwa pangetumika utaratibu unaofaa ili aliye mwema asiathiriwe,nivyomuelewa Mimi. Sasa wewe una hoji nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenena kwani kwa hali ilivyo hivi sasa ni wazi something is going wrong in our Country. Japokuwa ungeongeza nyama kidogo ili ueleweke vema.
 
Tuliandika mapema kabisa humu kwamba huyu ni janga kubwa la Taifa na ni mtu HATARI SANA. Mpaka sasa ushahidi ndani ya hii miaka mitatu na ushee unaonyesha hatukukosea kabisa.

Naona wakati unatimia wa kila mtu kuona nia mbaya wa huyu mtu Kwa Taifa letu japokuwa mlitushambulia Sisi tulioona hili mapema kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliandika mapema kabisa humu kwamba huyu ni janga kubwa la Taifa na ni mtu HATARI SANA. Mpaka sasa ushahidi ndani ya hii miaka mitatu na ushee unaonyesha hatukukosea kabisa.
Kabisa mkuu !
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kitu wasichojua hakuna mtu ambae atabaki salama iwe jeshini au uraiani. Akimaliza uraini lazima atafute ni kwa jinsi gani anaweza weka mapandikiz jeshin afanye atakavyo. Hapo ndo mwanzo wa kusikia luten flan kapigwa shaba mara hili mara lile panga pangua mpaka kikosi kikamilike. Akifanikiwa kuweka top layer yote yake. Hapo sasa lazima ajitangaze mtawala wa maisha hapo hakutakuwa na cha mkapa wala nani.
Njia rahisi ni kudhibiti mapema kabla hali haijawa mbaya jaman. Leo unaweza hisi hutaguswa kumbe muda wako bado na hakuna kitu kibaya kuishi nchi ya watu jaman tena ukiwa mkimbizi. Aman yetu inapotea hivihiv sabab ya matumbo yetu. Hivi vurugu zikitokea wewe kama mkurugenz au mkuu wa wilaya au unadhan utaishi kwa aman.leo uko bungeni fujo zikitokea unadhan hiyo 300mil itatosha kuanzisha maisha hukl nje na ukawa na aman
 
Usinee mabaya hali ikiwa mbaya wote tunaathirika vibaya sana. Nchi yetu sote tusifurahie hali mbaya kwa nchi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo ni moja, mambo yakiwa mazuri ni kwa ajili ya ccm, lakini yakiwa mabaya ni nchi yetu. Ni hivi, tatizo ni jiwe na hilo liko wazi japo tutaumia sisi wa chini lakini sababu ni yeye.
 
Modi alipobadilisha hela huko India na Rais wetu alitishia hilo hilo.
Ingawa hakufanya maana hali ingekuwa mbaya zaidi kwani hatuna chochote cha kuuza nje wala kiwanda cha silaha
H

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna mtu kanitumia taarifa kuhusu yaliyojiri kwenye "msako wa dola" kwenye bureaux de change, nimebaki mdomo wazi.

Kilichofanywa na wahusika (inasemekana ni mchanganyiko wa polisi, wanajeshi na "watu waliovaa kiraia") sio cha kistaarabu. Kwa sababu hata kama kuna genuine concerns kuhusu maduka ya kubadilishia fedha za kigeni kuhujumu uchumi, lazima taratibu zifuatwe.

Presumption of innocence ni muhimu sana kwa sababu imagine mfanyabiashara mwadilifu anapovamiwa kama jambazi kisha ikabainika hakufanya kosa, kwanini huyu mtu asiichukie serikali/nchi yake na huenda kutamani kulipa kisasi huko mbeleni?

Maji hufuata mkondo. Magufuli anaamini kuwa hata mbu akitua kwenye korodani basi kitumike kifaru kumuangamiza. Unfortunately, mara zote matumizi ya nguvu bila akili huzaa matokeo hasi.

Twawajua vema polisi wetu. Hivi wakivamia duka la fedha za kigeni, kuna uwezekano wowote wa mwenye duka kutokutwa na hatia? I mean hawa wahuni wamebobea katika kubambikizia watu kesi sambamba na kupora mali za raia.

Ni rahisi kulaumu. Ni rahisi kushutumu. Ni rahisi kutukana. Lakini si lawama wala shutuma au matusi yanayoweza kuleta ufumbuzi wa tatizo. Tufike mahala tukubaliane kuwa Rais wetu anahitaji msaada. In fact mwenyewe amekuwa mahiri wa kuomba msaada wa sala/dua zenu. Something is seriously wrong with Jiwe. Na nina wasiwasi kuwa taifa litapofika mahala pa kuelewa hali halisi, itakuwa too late kurekebisha damage iliyokwishafanyika.

View attachment 1034210
Hiyo article tuu imenifanya kucheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom