upo vitani ni lazima usielewe mzee vita c lele mama vita ni vita hapo unapohisi kukata tamaa kaza mwanangu .Hali yangu sio shwari. Kazi ndio hivyo najaribu kuomba hata vibarua lakini ni za manati. Nasubiri tu vibarua vya kulima vikianza nijitose sina namna. Muda mwingine nakosa hata hela ya vocha kweli? Najutia sana ile bidii niliyoweka huko kwenye elimu ningewekeza hata kwenye skills zingine ningekuwa mbali sana. Nakatiza mtaa au sometimes sitoki home kabisa.Maana hata kampani yenyew ya vijana wenzangu hapa mtaa sio kabisa kutokana na matukio ya ulevi , wizi wa bike ,bangi n.K. Wanayo engage nayo Sikutegemea kwamba nitakuja kuishi maisha ya stress na dhiki kiasi hiki. Simwombei mtu akose kazi maana joto lake nalionja. Na nishasema kuomba msaada kwa ndugu never. Nimesimangwa sana kwa kweli inatosha.
Mkuu si utufanyie mipango tuje huko, tuna hamu na kazi kweliMkuu mtu kama wewe ndo wa kuja ulaya hasa Norway na Denmark. Tatizo waliopata iyo fursa hawapendi kufanya kazi. Kina kazi nyingii sana huku. Kuna dogo kaja huku mwaka jana yeye kulala. Mimi nina miaka 15 huku napiga mzigo sichagui kazi. Mwezi wa tano nilifanya kazi masaa 500. Dogo yani analala tu hela iko njenje. Kuna mzee ni besti yangu ana gerej toka 1970s anatoa vibarua na kukulipa cash in hand baada ya kazi kama elfu 70-80 kwa saa. Dogo nikampeleka kufanya yani masaa mawili tu kachoka anatoroka anaenda kulala. Halafu mizinga sasa ameanza kuishi kijanja visa ilishaisha.
Hili swala la kwenda majuu nishaliwaza sana kwa ajili ya ktafta maisha, sema bahati na pia nawaza nisije kuangukia kwenye wale wazee wa human trafficking.Mkuu mtu kama wewe ndo wa kuja ulaya hasa Norway na Denmark. Tatizo waliopata iyo fursa hawapendi kufanya kazi. Kina kazi nyingii sana huku. Kuna dogo kaja huku mwaka jana yeye kulala. Mimi nina miaka 15 huku napiga mzigo sichagui kazi. Mwezi wa tano nilifanya kazi masaa 500. Dogo yani analala tu hela iko njenje. Kuna mzee ni besti yangu ana gerej toka 1970s anatoa vibarua na kukulipa cash in hand baada ya kazi kama elfu 70-80 kwa saa. Dogo nikampeleka kufanya yani masaa mawili tu kachoka anatoroka anaenda kulala. Halafu mizinga sasa ameanza kuishi kijanja visa ilishaisha.
Dah kupata connection ndo kazi vipi wewe ulipenyaje nasisi tupitieMkuu mtu kama wewe ndo wa kuja ulaya hasa Norway na Denmark. Tatizo waliopata iyo fursa hawapendi kufanya kazi. Kina kazi nyingii sana huku. Kuna dogo kaja huku mwaka jana yeye kulala. Mimi nina miaka 15 huku napiga mzigo sichagui kazi. Mwezi wa tano nilifanya kazi masaa 500. Dogo yani analala tu hela iko njenje. Kuna mzee ni besti yangu ana gerej toka 1970s anatoa vibarua na kukulipa cash in hand baada ya kazi kama elfu 70-80 kwa saa. Dogo nikampeleka kufanya yani masaa mawili tu kachoka anatoroka anaenda kulala. Halafu mizinga sasa ameanza kuishi kijanja visa ilishaisha.
upo vitani ni lazima usielewe mzee vita c lele mama vita ni vita hapo unapohisi kukata tamaa kaza mwanangu .
wakatae ndugu na marafiki kwa dhati yote ila tu usishinde ndan mzee game ni tough huwez shinda vita kwa kujificha dhidi ya adui kaa kijiwen kuwa muwindaji amin hela yoyote itakayokatisha mbele yako asilimia 10 yake ni tozo yako wewe kama kaisali koz game ni lako una haki ya kurudisha shambulizi ili adui (dhiki) Arudi nyuma. kaza narudia kaza sijui unajua kukaza kaza
Wengi wanaopataga bahati ya kuja huku hawastahili. Watanzania wengi wanapenda kulala na mkato.Hili swala la kwenda majuu nishaliwaza sana kwa ajili ya ktafta maisha, sema bahati na pia nawaza nisije kuangukia kwenye wale wazee wa human trafficking.
kaza ukiwa vitan usiwaze mademu usiwaze bata usiwaze watakuonaje usimuonee mtu huruma just be reasonable , ondoa usela pia dingi yaani ondoa. usikubali anguko lako hapo hata kama ukianguka ukaangukie mbele yaani hata atua 2000 toka hapo ulipo usiukubali unyonge kifalaNaam ndugu. Nimekupata.
Mkuu upele humuota asiye nakuchaMkuu mtu kama wewe ndo wa kuja ulaya hasa Norway na Denmark. Tatizo waliopata iyo fursa hawapendi kufanya kazi. Kina kazi nyingii sana huku. Kuna dogo kaja huku mwaka jana yeye kulala. Mimi nina miaka 15 huku napiga mzigo sichagui kazi. Mwezi wa tano nilifanya kazi masaa 500. Dogo yani analala tu hela iko njenje. Kuna mzee ni besti yangu ana gerej toka 1970s anatoa vibarua na kukulipa cash in hand baada ya kazi kama elfu 70-80 kwa saa. Dogo nikampeleka kufanya yani masaa mawili tu kachoka anatoroka anaenda kulala. Halafu mizinga sasa ameanza kuishi kijanja visa ilishaisha.
jichanganye mkuu penye wengi pana mengi waweza pata hata deiwaka ya Boda naukasogeZa cku chamsingi usiwe mlevidah sahiv ni kuwa mvumilivu maana. Inafikia hatua ya kujitenga. Ili kuepuka fedheha za kuulizwa maswali ya dhihaka na majirani ,
dah hapo kwenye unyonge umenikumbusha childhood traumas. Sema sina unyonge ule wa kuonekana kuwa kama zoba. Sema tu ni stress zinanifanya nakuwa mpole. Maana wanaonizunguka siwezi kujichanganya nao ktokana na lifestyle lao .kaza ukiwa vitan usiwaze mademu usiwaze bata usiwaze watakuonaje usimuonee mtu huruma just be reasonable , ondoa usela pia dingi yaani ondoa. usikubali anguko lako hapo hata kama ukianguka ukaangukie mbele yaani hata atua 2000 toka hapo ulipo usiukubali unyonge kifala





acha hizo kuwa kauzu c walimwengu ni makauzu hawajakuonea huruma kwa hip wewe unadhani ukiwapa upendo ndo watakupa flag. tafuta mtu aliekamata pesa kama wanahuruma za kifala wapo reasonable tu . usijifungie ndani kozi kukaa ndani ni sawa na kukaa ndani ya boksi toka nje au ww so mbabe mzee ? na vipi ukiongeza maarifa na jitihada ? kaz ni kaz afisa msingi inaleta marundo uhakika tu au unawawaza kina Ashura watakuonaje ? wewe kaza mshua kaza koz wakina Ashura bila kibunda watakunanga mno. nenda kakaze hata inapobidi kula mjani ukupe morali ya kazi kula c unaitaka kaz c unataka kujiamini ili ukabili lolote litalokufika Ila cha msingi mtoto wa kiume ni kazi yaani uwe na shughuli kata fuse za kujionea huruma na aibudah hapo kwenye unyonge umenikumbusha childhood traumas. Sema sina unyonge ule wa kuonekana kuwa kama zoba. Sema tu ni stress zinanifanya nakuwa mpole. Maana wanaonizunguka siwezi kujichanganya nao ktokana na lifestyle lao .
Alipiga hizi kelele kipindi akiwa mbunge??Mzee #Kinana anasema “wabunge wetu wanalipwa pesa kidogo sana”
MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA.
Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn linaumiza roho sana.
Mwalimu wa Tanzania mwenye TGTS D1 mwenye mshahara take home 531,000 kwa mwezi, akifanya kazi kwa miaka 38 atalipwa shilingi 242,136,000 (milioni 242).
MBUNGE wa Tanzania kwa mwaka mmoja analipwa shilingi 240,300,000 (milioni 240 bila posho za kamati).
Yani mwalimu wa Tanzania mwenye degree analazimika kufanya kazi kwa miaka 38 ili aweze kupata malipo anayopewa mbunge wake (ANAYETAKIWA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU) kwa mwaka mmoja tu. Ndio uzalendo huu?????? @SuluhuSamia
YANI IPO HIVI,
Mbunge anayelala tu bungeni @bunge_tz analipwa;
Posho za vikao kwa mwaka ni sh. 42,300,000 (milioni 42.3)
Mshahara na marupurupu kila mwezi 16,500,000 × miezi 12 = 198,000,000 (milioni 198).
Jumla kwa mwaka mmoja ni sh. 240,300,000 (milioni 240, hii haihusishi posho za kamati za kudumu).
Kwa miaka mitano, mbunge wa Tanzania analipwa 1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUCHANGANUE MALIPO YA MBUNGE VIZURI.
Sitting Allowance - 220,000
Per Diem - 250,000
Jumla kila siku mbunge analipwa 470,000/= (haijalishi ameongea au lah).
Mshahara na marupurupu kwa mwezi - 16,500,000/=
Mshahara wa mbunge kwa mwaka mmoja ni shilingi 198,000,000 (milioni 198).
Mshahara wa mbunge kwa miaka mitano ni shilingi 990,000,000 (milioni 990).
Bado kila baada ya miaka mitano huyu mbunge analipwa kiinua mgongo milioni Mia mbili (200,000,000).
Vikao vya Bunge
Kikao cha Januari 31 - Feb 10 = siku 11
Kikao cha bajeti April 4 - June 30 = siku za vikao 59
Mkutano wa tisa wa bunge mwaka 2022 Nov 1-11 = siku 10
Mkutano wa nane kuanzia Sept 13-23 = siku 10
Jumla ya siku za vikao vya bunge ni siku 90.
Siku 90 za vikao × 470,000 = 42,300,000
42,300,000 za vikao × miaka 5 = 211,500,000
JUMLA KWA MIAKA MITANO
1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUANGALIE MSHAHARA WA MWALIMU KWA MIAKA MITANO
Mwl. mwenye TGTS D1 mshahara wake basic ni shilingi 771,000 kwa mwezi, ukitoa makato, take home ya mwalimu huyu no shilingi 531,000.
Mshahara wa huyu mwalimu kwa mwaka 531,000 × miezi 12 = 6,372,000 mara miaka mitano = 31,860,000 (huu ni mshahara wa Mia I miwili wa mbunge).
Kwa miaka 38 mwalimu analipwa 6,372,000 * 38 = 242,136,000 (sawa na mshahara wa mwaka mmoja wa mbunge).
Huyu mwalimu akidai nyongeza ya mshahara anaambiwa "KUWA MZALENDO." Kama sio wizi huu ni nini????
Wakati mbunge wa Tanzania anaogelea kwenye bwawa la utajiri wa kodi za walala hoi, mtoto wa mtanzania maskini anashindwa kujengewa hata choo cha tundu kwenye shule yake; hata dawati la shilingi elfu 50 tu limeshindikana; hata kitabu cha elfu kumi tu imeshindikana.
IFIKE MAHALI TUACHE HUU UFALA WA KUENDELEA KUFUMBIA MACHO UDHALIMU WAKATI TUNAOUMIA NI SISI NA WATOTO WETU. MABADILIKO YA KWELI YATAKUJA PALE WATU WA CHINI TUTAKAPOSIMAMA KUPINGA UDHALIMU.
nimekuelewa ila hapo kwenye mjani nitakuwa navuka mstari mwekunduacha hizo kuwa kauzu c walimwengu ni makauzu hawajakuonea huruma kwa hip wewe unadhani ukiwapa upendo ndo watakupa flag. tafuta mtu aliekamata pesa kama wanahuruma za kifala wapo reasonable tu . usijifungie ndani kozi kukaa ndani ni sawa na kukaa ndani ya boksi toka nje au ww so mbabe mzee ? na vipi ukiongeza maarifa na jitihada ? kaz ni kaz afisa msingi inaleta marundo uhakika tu au unawawaza kina Ashura watakuonaje ? wewe kaza mshua kaza koz wakina Ashura bila kibunda watakunanga mno. nenda kakaze hata inapobidi kula mjani ukupe morali ya kazi kula c unaitaka kaz c unataka kujiamini ili ukabili lolote litalokufika Ila cha msingi mtoto wa kiume ni kazi yaani uwe na shughuli kata fuse za kujionea huruma na aibu
in kwelinimekuelewa ila hapo kwenye mjani nitakuwa navuka mstari mwekundu