Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Kukatwa kwa miti kwenye eneo linapojengwa bwawa la kuzalisha umeme Rufiji haukusababishi mvua kutonyesha kwa sababu maji ya mto Rufiji yanatoka mitatu tofauti mbali na eneo ambayo ni Morogoro, Njombe ana Iringa wakati bwawa liko kwenye mkpaka wa Lindi na Pwani.Hata lile bwawa kujaa sijui maana wamekata miti mingi ambayo haikuwa yakupandwa
Hoja ya kukata miti ni mfu na haina nguvu kupinga uwepo wa bwawa hilo