1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 953
Mvua inanyesha tangu juzi wachimbe mifereji basi na maji yaelekezwe Mtera, au?Geita kuna bwana la umeme?

Yah right.Tatizo ukame!
Hizo sauti kuzipaza kuelekea wapi wakati watu wanalamba asali, watu wanasema kwa sasa wanapumu, jiwe aliwabana sana, acha mahindi yapande mchele tule mara moja kwa mweziKama Watanzania wote kwa umoja, tungepaza sauti moja kwa umoja, tukaimba wimbo mmoja wa kuitaka Serikali kuwawajibisha waliofanya ujinga, hakika tungesikika.
Shida ni uoga na ubinafsi wetu.
Kuumia kwako ndiyo fursa kwa wengine.Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.
Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
Wacha waumie wameyataka wenyewe CHADEMA wamechelewesha sana MAENDELEO ya Nchi hiiNaumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.
Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
[emoji3][emoji3]Dawa ni kuanza kuvizia na kuwaua mafisadi mmoja mmoja....mbona wezi wanachomwa mtaani? Hawa mafisadi tunawaogopa au?
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.
Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.
Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
Wewe pia ni moja ya hao vichaa? Unavuta mkuu?Vichaa wamekuwa wa kuzidi....sijui bangee,au ndo hali hii hii ya ugumu wa maisha? Wengi kweli mtaan
Haiondoki kwa kura.Ni kweli ni wakati wa kuiondoa CCM tumechoka!
Wao na watoto wao wanalamba Asali, hujaelewa nini hapo mkuu? Wewe unaesubiria maji ya mgao na umeme wa mgao endelea kusugua bench,
mkuu kweli, mimi binafsi mtaani hapa kuna jamaa kawa chizi kwa .mara ya kwanza kuna jamaa ninayemfahamu kabisa ni chizi.Vichaa wamekuwa wa kuzidi....sijui bangee,au ndo hali hii hii ya ugumu wa maisha? Wengi kweli mtaan
Ingekuwa ni wakati wa uchaguzi umeme usinge kosekana.😂😂😂😂😂😂😂😂Ni kweli ni wakati wa kuiondoa CCM tumechoka!