Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,689
- 3,448
Huku mtaani maisha ni rahisi na matamu kuliko kipindi chochote ambacho nchi imewahi kupitia, huu ndo ukweli.Ila wanalamba Asali bure kabisa au umeandika nini? Nini unachokiongea hiki?
Huku mtaani maisha ni rahisi na matamu kuliko kipindi chochote ambacho nchi imewahi kupitia, huu ndo ukweli.Ila wanalamba Asali bure kabisa au umeandika nini? Nini unachokiongea hiki?
Kipande cha Sabuni 750/-Huku mtaani maisha ni rahisi na matamu kuliko kipindi chochote ambacho nchi imewahi kupitia, huu ndo ukweli.
Hata kama kipande kingeuzwa 2,000 hakuna Shida kwa kuwa inji imefunguliwa, pesa imetapakaa mitaani.Kipande cha Sabuni 750/-
Mche wa Sabuni 5,500/-
Maharage 4,500/-
Hivyo ni baadhi tu, una akili wewe?
Imefunguliwa kwa wazazi wako na ukoo wako au sio?Hata kama kipande kingeuzwa 2,000 hakuna Shida kwa kuwa inji imefunguliwa, pesa imetapakaa mitaani.
Punguza jazba,Imefunguliwa kwa wazazi wako na ukoo wako au sio?
Ndio haya haya huku wanalamba asali huku wanalamba Tope,Punguza jazba,
Maisha ndo haya haya hakuna mengine ujue Mkuu.
Mfunika kizibo wa chupa ya asali huyo muache atape mkuu.Kipande cha Sabuni 750/-
Mche wa Sabuni 5,500/-
Maharage 4,500/-
Hivyo ni baadhi tu, una akili wewe?
Point kubwa sana hiiiDawa ni kuanza kuvizia na kuwaua mafisadi mmoja mmoja....mbona wezi wanachomwa mtaani? Hawa mafisadi tunawaogopa au?
Ukijua ni kutesa na kuomboleza kwa zamu Wala hupati tabu Wala mhaho.Ndio haya haya huku wanalamba asali huku wanalamba Tope,
Pole sana ndugu kwa maumivu,ila inabidi uvumilie tu, umechukua hatua gani mkuuNaumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.
Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
Sawa Nape,Ukijua ni kutesa na kuomboleza kwa zamu Wala hupati tabu Wala mhaho.
Sema upole umezidi sana tzWanatudharau sana na wanajihakikishia vizazi vyao vitatu viishi kwenye huu ufalme.
Basi tufanye nini?Haiondoki kwa kura.
Kumbe mvua huko mistuni ni ya kutosha hainyeshi kulipokatawa miti tu. Hii miti milion 2 imekata mvua huko somalia na kenya ila ikaiacha geitaGeita kuna bwana la umeme?
Upole umepitiliza mpaka umekuwa ni ujinga wa SGRSema upole umezidi sana tz
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.