Hali ni tete kuliko wakati mwingine wowote ule

Hali ni tete kuliko wakati mwingine wowote ule

Mimi siamini sana kuwa sisi ni waoga ila hakuna tu mikakati, sisi wenyewe wananchi ni kama tumegawanyika hivyo hatuna nguvu ya pamoja na hakuna wa kuanzisha hayo maandamano.

Tufanye hata migomo tu.
Jibu bado ni lilie uoga kaka [emoji23][emoji23][emoji117] hakuna wa kujitoa muhanga mzee halafu rushwa imetawala sana kwahiyo mna weza kubaliana jambo na bado kuna wajinga wa chache wakahongwa ili kuharibu lengo lenu. Bongo nyoso [emoji706]
 
Saizi maduka ya mbegu za Mazao yamemaliza watu wanachangamkia fursa..

Serikali inazidi kupata mapato..

Hata wale Vodacom waliosingizia Tozo kwa failures zao za kimanagement ili kuwafool wanahisa Sasa wanakula shavu,hali ingekuwa tete si Uchumi ingeanguka Kama zama za Jiwe? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221115-144450.png
    Screenshot_20221115-144450.png
    114.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221115-144502.png
    Screenshot_20221115-144502.png
    55.9 KB · Views: 8
Saizi maduka ya mbegu za Mazao yamemaliza watu wanachangamkia fursa..

Serikali inazidi kupata mapato..

Hata wale Vodacom waliosingizia Tozo kwa failures zao za kimanagement ili kuwafool wanahisa Sasa wanakula shavu,hali ingekuwa tete si Uchumi ingeanguka Kama zama za Jiwe? 👇
Kwako wewe ni indicato zipi zinazoonyesha uchumi umekua? Ndio hzo article?
 
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Misitu inakatwa hovyohovyo kila kukicha kisa gas haishikiki bei, mvua zinagoma, kundi dogo linajineemesha kupitia dhiki za walio wengi
 
Jibu bado ni lilie uoga kaka [emoji23][emoji23][emoji117] hakuna wa kujitoa muhanga mzee halafu rushwa imetawala sana kwahiyo mna weza kubaliana jambo na bado kuna wajinga wa chache wakahongwa ili kuharibu lengo lenu. Bongo nyoso [emoji706]
Tuna sababu ila hatuna nia, siku tukitia nia basi hakutokuwa na hicho tunachoita uwoga.
 
Back
Top Bottom