Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 4,223
- 5,725
๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐
Tunatakiwa kujitoa sadaka.Hivi hizi hatua kali za makusudi, tuna zichukuaje...? tunaanzaje?
Kwamba tuandamane au tufanyeje... sisi wa Tz ni waoga ukisema uandamane kuna watakao umia kuna watakao kufa, na kuna watako pata vilema n.k
Watanzania hawapo tayari kufanya hivyo kama mataifa mengine wanavyo fanya na huo ndio mwanya wanao utumia mafisadi kuendelea kutafuna keki ya taifa mpaka siku ya kiama.
Laiti kama tungelikua tuna jilipua lolote na liwe nchi hii ingelikua salama na kila kitu kingelikua kinaenda vizuri, na kwa utaratibu maalumu. Hapa tukubali tukatae my point is... sisi ni waoga.
Hapo ndipo tunapofeli.Ungeanza wewe kwanza kuchukua hizo hatua kali ili wengine waige mfano wako.
Achaga ujinga basiNaumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.
Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
Nchi na wananchi hoi Kama tuko kwenye au tumetoka vita ya Uganda na Kagera Hali ni mbaya kwakweli tena Sana tuNaumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.
Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
Yaanmkuu kweli, mimi binafsi mtaani hapa kuna jamaa kawa chizi kwa .mara ya kwanza kuna jamaa ninayemfahamu kabisa ni chizi.
machizi wengi niliokwisha waona siwafahamu.
Huyu jamaa ndugu zake walikuja kumchukua wakaenda naye kwao moro kumtibu kawatoroka karudi dar.
Analamba yeye na ukoo wake tu
Ila wanalamba Asali bure kabisa au umeandika nini? Nini unachokiongea hiki?Itakuwa mlizoea vya Bure enzi za Magu,
Kwa Sasa mama anasema Bure alishakufa na matanga yalishaisha, mzoee kama vile bure hakuwahi kuwepo.
Tatizo ukame!
Ukionekana wewe ndio vuguvugu wanaanza na wewe, utabambikwa hata kesi ya kubaka na Jela utaenda na ukienda hautatoka hadi wao wamalize kuilamba Asalisisi ni waoga
Haya ndio mambo wanayo tufanyia wehu hawa.Ukionekana wewe ndio vuguvugu wanaanza na wewe, utabambikwa hata kesi ya kubaka na Jela utaenda na ukienda hautatoka hadi wao wamalize kuilamba Asali
Wanatudharau sana na wanajihakikishia vizazi vyao vitatu viishi kwenye huu ufalme.Dawa ni kuanza kuvizia na kuwaua mafisadi mmoja mmoja....mbona wezi wanachomwa mtaani? Hawa mafisadi tunawaogopa au?
Niliona wale wananchi wa Ghana nilipata hamasa sana na Tanzania tungekuwa na muamko huo huu ujinga ujinga wa baadhi ya viongozi usingekuwepo.Hivi hizi hatua kali za makusudi, tuna zichukuaje...? tunaanzaje?
Kwamba tuandamane au tufanyeje... sisi wa Tz ni waoga ukisema uandamane kuna watakao umia kuna watakao kufa, na kuna watako pata vilema n.k
Watanzania hawapo tayari kufanya hivyo kama mataifa mengine wanavyo fanya na huo ndio mwanya wanao utumia mafisadi kuendelea kutafuna keki ya taifa mpaka siku ya kiama.
Laiti kama tungelikua tuna jilipua lolote na liwe nchi hii ingelikua salama na kila kitu kingelikua kinaenda vizuri, na kwa utaratibu maalumu. Hapa tukubali tukatae my point is... sisi ni waoga.
Jamani tulitaka demokrasia so ndio hii? Yaani binadamu sijui hajui anachokitaka.Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa maji.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na urasimu wa Viongozi wa umma katika kutoa huduma.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na wenye pesa kuzuiliwa kutoa michango yao ya huduma za kijamii kwa kuhofia kwamba wenye vyeo wasije kunyang'anywa vyeo vyao.
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uzembe wa Viongozi wetu wa umma.
Huu ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kali za maksudi.
Kweli kabisa sijui ni nani atakaye kuja kutubadilishia katiba ili iwe ina wawajibisha papo hapo wanapo isigina na kuivunja ili adabu iwepohaya mambo mpaka lini?Niliona wale wananchi wa Ghana nilipata hamasa sana na Tanzania tungekuwa na muamko huo huu ujinga ujinga wa baadhi ya viongozi usingekuwepo.
MNaumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha.