Parabolic JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 2,745 Reaction score 2,619 Jul 20, 2025 #1 Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani? Your browser is not able to display this video.
Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani? Your browser is not able to display this video.
Nkuba25 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,374 Reaction score 13,097 Jul 20, 2025 #2 Mi 5 tena kwa mama.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,030 Reaction score 111,618 Jul 20, 2025 #3 hiyo sehemu ni kero kwa muda sasa.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 15,953 Reaction score 18,393 Jul 24, 2025 #4 Hapo tumezoea chini y ccm na mafisadi na majizi Kazi ni kipimo cha utu
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,844 Reaction score 52,251 Jul 24, 2025 #5 Yaani hii nilipost tiktok Dawasa wakajifanya kuziba maji Juzi wamekuja kukwangua barabara wameacha hivyo na maji yake🙌
Yaani hii nilipost tiktok Dawasa wakajifanya kuziba maji Juzi wamekuja kukwangua barabara wameacha hivyo na maji yake🙌
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jul 24, 2025 #6 Kariakoo ni moja ya sehemu za hovyo Tanzania hii