Mmmh, kimbunga hicho bas ni noma. Lakn mie naona mapichapicha tu
imani za kishirikina
Mjukuu wa chifu si mwanaume mbona unamwita mama?we mda wote unakaa online ..mb unapata wapi mama
Umesoma vizuri umemquote nani?Matusi yao tumeyazoea na wengine huwa hatuna majibu ya matusi kwasababu ni walimu wa matusi.