Hali kama hii ikitokea hapa Bongo utafanya nini

Hali kama hii ikitokea hapa Bongo utafanya nini

Dhambi zilizopo hapa hata kutolea mfano huo aifai maana ni kitu akiwezekani
 
Hii habari sio kweli, ukweli wake ni kuwa kuna lori lililokuwa limebeba samaki kielekea kiwanda cha kisindika samaki, loki za mlango zilifunhuka na kipelekea samaki kuanguka barabarani. Ushhidi[emoji116]
 
Kiuhalisia hakuna uhusiano. Samaki hawezi ishi kwenye mawingu eti inyeshe mvua wadondoke!!!
 
Samaki wametapakaa road kutonaka na bahari kufurika na sio kwamba wametoka juu..
 
Back
Top Bottom