Hali kama hii ikitokea hapa Bongo utafanya nini

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,788
4,490
fish-rain-in-Thailand-3.jpg

Kuna mvua kubwa ilinyesha huko Thailand mwaka 2015 na kuangusha samaki toka juu kila mmoja alikuwa anashangaa.

Mvua kama hiyo ingenyesha hapa bongo ungechukua hatua gani.
ec607d9c43380b8f2a36591af2abc194.jpg
 
Hicho kitu kinawezekanaje, yan samaki aanguke kutoka juu tu. Labda kama palitokea mafuriko samak wanaweza kuletwa uraiani na maji. Hilo la Thailand naona kama fix
 
unakamata samaki na upepo pia
usisahau kiwango cha taharuki kinachokuwepo lakini
 
Hicho kitu kinawezekanaje, yan samaki aanguke kutoka juu tu. Labda kama palitokea mafuriko samak wanaweza kuletwa uraiani na maji. Hilo la Thailand naona kama fix
Kweli mkuu ilitokea na ilizungumzwa sana kwenye vyombo vya habari, na wanasayansi walisema ni cyclone iliyochota maji na kupeleka hewani na hatimae kusafirishwa na barafu ya mvua, na wakati ile barafu inayeyuka ikashuka na hao samaki,
 
Wanaume wa dar hawatatoka ndani wiki nzima mpk hio mvua ikatike wanaogopa kunuka shombo ya samaki au wasije wakajeruhiwa wakiangukiwa na samaki.
 
Hicho kitu kinawezekanaje, yan samaki aanguke kutoka juu tu. Labda kama palitokea mafuriko samak wanaweza kuletwa uraiani na maji. Hilo la Thailand naona kama fix
Ni kweli kabisa mkuu na siyo mara ya kwanza ishawahi tokea japan na nchi nyingine pia kuna maelezo yake in really sense siyo mvua kuna jinsi maji ya bahari ya navyo sombwa na kurushwa juu so hata samaki wanaendeana so ndo ikirudi na hao samaki inakuwa kama mvua ya samaki
 
Mmmh, kimbunga hicho bas ni noma. Lakn mie naona mapichapicha tu
Unajua kimbunga ni nini? Fanya utafiti kuhusu kimbunga utajua nguvu yake!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom