Hali kama hii ikitokea hapa Bongo utafanya nini

Hicho kitu hakiwezekani ni scene tu za kutengeneza.

Labda jiuliZe tu kama ni kweli wamedondoka mama mvua ni kwanini wapo barabarani pekee kwanini wasinge tapakaa kote???

So ni wazi kuwa hilo ni gari limepita na kuwaga hao samaki “kiki” tu kulamba maboya
 
Ni kweli kabisa mkuu na siyo mara ya kwanza ishawahi tokea japan na nchi nyingine pia kuna maelezo yake in really sense siyo mvua kuna jinsi maji ya bahari ya navyo sombwa na kurushwa juu so hata samaki wanaendeana so ndo ikirudi na hao samaki inakuwa kama mvua ya samaki
Wenyewe wamesema ni mvua na sio mawimbi ya bahari
 
Wenyewe wamesema ni mvua na sio mawimbi ya bahari
Ni kwamba upepo wa kimbunga usasomba maji na samaki unaenda mwaga sehem kama mvua vile hivyo huwezi yaita mawimbi maana kimbunga kinayamwaga toa juu kama mvua vile ndiyo maana inaitwa mvua ya samaki inatokea sana hata Sri Lanka imetokea mwaka 2015, japan mwaka 2016
 
Achana na ya sri lanka tuzungumzie hii, kwanini wamwagike barabarani tu?
 
Achana na ya sri lanka tuzungumzie hii, kwanini wamwagike barabarani tu?
Hata huku nilikokitajia inaitwa mvua ya samaki maana inasombwa bahari kinaenda kumwaga sehemu nyingine inaweza kuwa kokote hata jararani.
Ebu fanya kugoogle ujielimishe zaidi maelezo yake yapo ya kujitosheleza
 
Poa
 
View attachment 722588
Kuna mvua kubwa ilinyesha huko Thailand mwaka 2015 na kuangusha samaki toka juu kila mmoja alikuwa anashangaa.

Mvua kama hiyo ingenyesha hapa bongo ungechukua hatua gani.
View attachment 722590
1. tungekula samaki hadi basi
2. wavuvi wa kule kanda yetu pendwa wangegeuka kuwa mashetani
3. viplastic na vibox vya samaki fasjet, pangapoi, precision vingetoweka ghafla
4. feri pangekuwa kama makaburini (kwa ukimya - nani auze nani anunue wakati kuna dezo)
5. Musukuma angekuwa bubu bungeni!
6. ongezea na mengine!!
 
Ingekuwa Bongo, amri ingetolewa wote tuwarudishe Ziwani au Baharini maana bado wadogo.
 
Hata huku nilikokitajia inaitwa mvua ya samaki maana inasombwa bahari kinaenda kumwaga sehemu nyingine inaweza kuwa kokote hata jararani.
Ebu fanya kugoogle ujielimishe zaidi maelezo yake yapo ya kujitosheleza
Sio kilichopo gugo unakiamini, inategemea na chanzo cha habari yenyewe, OK?
 
Sio kilichopo gugo unakiamini, inategemea na chanzo cha habari yenyewe, OK?
plenty of sources google siyo single source yani ni sawa u google malaria utapata sources za maelezo yanayofanana hata mia ndicho hicho hicho ukigoogle utapata maelezo ya kufanana toka reliable sources hata 100
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom