Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

Mi siwashwi na chochote ila nasikitishwa kuona kwamba vijana wa Tanzania wana uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo bila kujali viwango vyao vya elimu. Yaani hakuna tofauti ya msomi na asiesoma kama mimi
Mipango yenu imevurugwa lazima mtapetape
 
Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Mtajua wenyewe, chadema wameshafanya sehemu yao
 
Mbowe kuendelea kuwa MWENYEKITI Chadema ni dhahiri kuwa Chadema hakuna kiongozi mwingine zaidi yake akifa yeye na chama kimekufa
 
Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Huu mchakato inabidi tuuanze mapema ili Mh. Rais awe na uhakika wa kuendelea baada ya 2025. Ni nani wa kumfunga paka kengele kama mipanya yenyewe haijui taratibu za kumfikia paka? Mh. Rais wangu kipenzi Magufuli, piga kazi, sisi tutafanya kampeni ya kutafuta signature 2m uendelee. Tutapigana sana hii katiba iondoe ukomo wa urais na nina imani tutashinda.
 
Mkitumia mitutu mtaweza nje na hapo hata watu mia hamtapata walahi kama wabunge na wakuu wa mikoa hawatahusika
 
Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Ona sasa.

Bado huoni tatizo na mawazo yako haya? Hebu soma tena ulivyoandika hapa halafu useme hayo ndiyo uliyotaka kuyawasilisha hapa!

Ngoja nikusaidie ili uelewe: "...kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kuogombania..."

Na kama bado huelewi, sina uwezo wakukuelewesha zaidi ya hapo.
 
Huu mchakato inabidi tuuanze mapema ili Mh. Rais awe na uhakika wa kuendelea baada ya 2025. Ni nani wa kumfunga paka kengele kama mipanya yenyewe haijui taratibu za kumfikia paka? Mh. Rais wangu kipenzi Magufuli, piga kazi, sisi tutafanya kampeni ya kutafuta signature 2m uendelee. Tutapigana sana hii katiba iondoe ukomo wa urais na nina imani tutashinda.
Hayo hayatuhusu.Sisi tuko na Mbowe tu
 
Hao vijana wasimtafutie Mh Mbowe maumivu tu, bali hata wao wawe tayari kujitoa kuumia pamoja naye.
 
Kama vijana wamejitokeza kumuchukulia fomu ya kuendelea kutetea nafasi yake ya uenyekiti wa chama Mr mbowe. Basi tusilaumu hata kidogo kundi la Watanzani wanyonge wakiingia barabarani 2025 kumushinikiza Rais Magufuli Aendelee kutetea kiti chake Cha urais...

Umeisoma katiba ya Tanzania?

Mjinga wewe unadhania uras wa nchi unaenda kwa katiba ya ccm?
 
Back
Top Bottom