Kama mkiamuwa kuviziana hamumkomoi mtu zaidi ya serikali yenu.Nimeongea na watu wa Mbeya sasa hivi, wananiambia hakuna lolote huko, wleta fujo wamedhibitiwa, FFU na polisi wanazunguka zunguka mitaani na magari yao na ukionekana unaashiria fujo unakula mkong'ong'oto na kutupiwa nyuma gari ukajieleza mbele ya safari.
Na vikosi vingine vinaelekea huko, haya tokeni ndani mbona mnajificha? si wajanja nyie?
Wale mikong'oto tu, nani anawaambia wafanye biashara barabarani, kama hawana pa kufanyia biashara warudi vijijini wakalime. Msitetee ujinga.
Na hao sio wafanya biashara hizo zote ni mbinu za magwanda ili kuoekana nchini kuna fujo. Lakini dawa yao ni ndogo tu, kuna vichaa wamepelekwa huko, wakae chonjo.
Eti umeongea na watu. Hiyo ni hearsay tuu. Kwa nini usiende kujionea mwenyewe? muda mfupi uliopita jeshi la Polisi limepiga bomu za machozi katika ZAHANATI YA IPINDA eneo la Mwanjelwa na manesi wamerahi. You bet na hawa manesi walikuwa wanaleta fujo ndani ya zahanati. Vipi kama humo zahanati kulikuwa na mama anajifungua? Wewe ni mwanamke kweli? Unaujua uchungu wa kupigwa bomu la machozi huku uko kitandanini unajifungua?
Mkuu huyu FF atakuwa mtop serikalini,maneno anayotumia ni makali sana.Sidhani kama ni ya mwananchi wa kawaida.FaizaFoxy said:Ukafanye fujo hospitali ili likipigwa useme kuna wanawake? piga tu hata kama kuna nani mule, kwani wanaume hawana roho? hata ujidai kuwadharau wanawake? Tena ndio raha kweli na huyo mtoto akizaliwa namuita bomu la machozi or is it machizi?
hawa jamaa hawatumii akili kweli, serikali ikiruhusu wananchi wafanye vile wanavyotaka si itakuwa vurugu. Wamachinga wanaamua kujipangia maeneo ya kufanya biashara hata kama sio rasmi.
Huu ni uhuni ambao serikali haiwezi kuuvumilia.
Wale mikong'oto tu, nani anawaambia wafanye biashara barabarani, kama hawana pa kufanyia biashara warudi vijijini wakalime. Msitetee ujinga.
Na hao sio wafanya biashara hizo zote ni mbinu za magwanda ili kuoekana nchini kuna fujo. Lakini dawa yao ni ndogo tu, kuna vichaa wamepelekwa huko, wakae chonjo.
Ukafanye fujo hospitali ili likipigwa useme kuna wanawake? piga tu hata kama kuna nani mule, kwani wanaume hawana roho? hata ujidai kuwadharau wanawake? Tena ndio raha kweli na huyo mtoto akizaliwa namuita bomu la machozi or is it machizi?
Unakumbuka kodi ya maendeleo aseee!!polisi wanafukuzana na wananchi mitaani na kupasua mabomu. - inanikumbusha enzi za ukoloni na karibu tunapata uhuru wakati wazaramo wa buguruni dar es salaam(buguruni ilikuwa wazaramo 100%) walipopambana na askari wa malikia hadi gavana akaingia TBC kuwaomba wananchi wa buguruni watulie na kutoa ushirikiano. Toka pale Buguruni ikaitwa ALABAMA ya Tanganyika jina ambalo lilifutiika badae.
Nasisitiza viongozi waache mambo ya siasa waingie kwenye uchumi na busara kulimaliza sekeseke hili. Hakuna mambo ya chadema wala nini hapa
Hawa jamaa hawatumii akili kweli, serikali ikiruhusu wananchi wafanye vile wanavyotaka si itakuwa vurugu. Wamachinga wanaamua kujipangia maeneo ya kufanya biashara hata kama sio rasmi. Huu ni uhuni ambao serikali haiwezi kuuvumilia.
Hana ukubwa wowote huyo mpemba, ni maskini tu kama ndugu yake rejao. Nape kawapa visimu vya kuletea fujo humu JF na kuwapa viposho vya shs 10,000 anajiona amemaliza dunia. Ila mi ninamfurahia sana kwani anasaidia sana kuwafanya watu humu ndani wazidi kuichukia CCM kuwa ni chama kisicho na huruma kama wafuasi wake humu JF. Suala la mtu kupigwa risasi na kujeruhiwa halina itikadi. Ndio maana tumeamua kuwakuza watoto wetu katika mazingira ya kutambua kuwa CCM ni dudu baya kama shetani wanatakiwa waliogope saana. Mtoto akitoka nje usiku unamwambia utakamatwa na CCM atakumeza... Mijinga kama FF ndio imetufikisha huko.Mkuu huyu FF atakuwa mtop serikalini,maneno anayotumia ni makali sana.Sidhani kama ni ya mwananchi wa kawaida.
Yeye ni lazima ni kiongozi mkubwa sana ama fisadi mkubwa sana.
Hao ndo wanaweza wasiwe na huruma na binadamu yoyote mtanzania masikini ama mwenye shida.
Hawezi ona huruma,ni mashetani haya.
Kule uchaggani tunaamini mashetani ni watu wenyewe na hawatoki pengine bali miongoni mwetu.
Hii ina maana kupambana na shetani sometimes ni sawa na kupambana na binadamu mwignine tu ambaye ni "shetani"
Ila wewe ajuza una kera sana. sijawahi ona m2 mwenye roho mbaya kama wewe. kama msimamo wako na rejao ndio msimamo wa ccm. then i have to hate ccm with all my heart.
Naona unalipwa kwa kutaja CHADEMA kwa ubaya.............you are actually blowing off some Ds!!hahah..CDM ni wajanja kuongea hapa jamvini,
Hawana madhara yoyote, police wachache tu wanawadhibiti.
CDM acheni siasa za vikundi, kama mnania kweli, amueni! Siyo kuleta vurugu zisizo na maana.