Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Wakubwa wa kazi. Sukari kama dola ya Marekani tu. Ina-flactuate inavotaka. ina-spini inavyopenda ili mradi tu tuisome namba.
Baada ya kufika kazini na kugundua muajiri bado hajanunua sukari kwa ajili ya wafanyakazi wake nikaona isiwe tabu ngoja nijikune mwenyewe.
Nikatoa 3000 nikaagiza rafiki akaniletee sukari hapo hapo nikiamini chenji haikosi kuwa 600 ambapo nitapata maandazi matatu kwa Mama Kemia (watu wa Iyunga Tech mnamkumbuka huyu mama?)
Majibu ya niliyemtuma ni kama mnavoona hiyo attachment.