Sasa mkubwa kama bei ya jumla ya mfuko wa 50kg ni TZS 110,000 na wewe umenunua kilo TZS 2,200 bei ya reja reja dukani, huyo mwenye duka mbona atakuwa anafanya biashara kichaa?
Nasema ni biashara kichaa kwa sbb huyo ameinunua kwa bei hiyo ya jumla na yeye kaamua kugawa bure kwa sbb hakuna faida iwapo kweli anauza kilo moja kwa TZS 2,200 kwa sababu;
2,200 × 50kg = TZS 110,000!!
Au umekuja hapa kutudanganya tu mchana kweupe??
Ni wazi ili huyu retail trader apate faida ingalau ya kati ya TZS 15,000 - 30,000 ktk mfuko mmoja wa kilo 50, ni lazima auze bei ya reja reja ya kati ya TZS 2,600 - 3,000 kwa kilo moja iwapo yeye kanunua bei ya jumla hiyo uliyosema ya TZS 110,000!!
Kwa hiyo, in short kabisa......wewe ni mwongo, period!!