mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,894
- 106,186
Pamoja na laptops kwa kila mwanafunzi
Pamoja na laptops kwa kila mwanafunzi
wanawake mi nawapenda kweli afu nawaheshimu maana nikiwa na stress nikipewa nachopewaga na mwanamke wangu basi tena sukari hata iuzwe 10,000 kilo nitanunua.Mtoto wa kiume hapaswi kulalamika kama mwanamke
Naomba wakikujibu unitag hata mim sikupatahivi ile sukari aliyosema ataigawa bure Tz nzima nyie mmepata mgao?
Hakuna sehemu inayosema "nchi nzima". Hizo ni chumvi unazoamua kuongeza ili kukidhi matakwa yako.
wakubwa wa kazi. sukari kama dola ya marekani tu. ina flactuate inavotaka. ina-spini inavyopenda. ili mradi tu tuisome namba.
baada ya kufika kazini na kugundua muajiri bado hajanunua sukari kwa ajili ya wafanyakazi wake nikaona isiwe tabu. ngoja nijikune mwenyewe. nikatoa 3000 nikaagiza rafiki akaniletee sukari. hapo hapo nikiamini chenji haikosi kuwa 600 ambapo nitapata maandazi matatu kwa Mama Kemia (watu wa Iyunga Tech mnamkumbuka huyu mama?)
majibu ya niliyemtuma ni kama mnavoona hiyo attachment.
View attachment 375773
Usije ukadhani Tanzania nzima ni Dar!!!!?Uko nchi ipi kijana ? sukari kilo ni Tshs 2,200 jana nimenunua dukani. Na hata nenda supermarkets mbali mbali haizidi bei ya Tshs 2,200/=. Au wataka sukari ipi upewe ?
Alcema ktk moja ya mikutano yake kuw atakae kutwa na sukar kaificha ghalan/nyumban kwake hyo sukar atanyang'anywa na kugaiwa wananch buree,,,,, xaxa wangap walkutwa nazo afu cha maana hakuna,, punguza mzuka dogo!Ni wapi ilitamkwa kuwa sukari itagawiwa bure Tanzania nzima?? Ni nani alisema hivyo??!!! Mbona mnaleta mnasambaza propaganda zisizo na maana???
Xaxa hyo ndo bei elekez?Uko nchi ipi kijana ? sukari kilo ni Tshs 2,200 jana nimenunua dukani. Na hata nenda supermarkets mbali mbali haizidi bei ya Tshs 2,200/=. Au wataka sukari ipi upewe ?
Mkuu hapo kwa mama kemia umenikumbusha mbali,umenikumbusha Yale Ma GT aisee!wakubwa wa kazi. sukari kama dola ya marekani tu. ina flactuate inavotaka. ina-spini inavyopenda. ili mradi tu tuisome namba.
baada ya kufika kazini na kugundua muajiri bado hajanunua sukari kwa ajili ya wafanyakazi wake nikaona isiwe tabu. ngoja nijikune mwenyewe. nikatoa 3000 nikaagiza rafiki akaniletee sukari. hapo hapo nikiamini chenji haikosi kuwa 600 ambapo nitapata maandazi matatu kwa Mama Kemia (watu wa Iyunga Tech mnamkumbuka huyu mama?)
majibu ya niliyemtuma ni kama mnavoona hiyo attachment.
View attachment 375773
Mkuu hapo kwa mama kemia umenikumbusha mbali,umenikumbusha Yale Ma GT aisee!
Aisee ni kumbukizi za aina yake,mama kemia kama yuko hai atakuwa amezeeka sasamaji ya kibabe ukiingia kichwakichwa unababuka.
bila majani hahaha!
Umepigwa mkubwa, hakuna bei hyo tz, hususani darwakubwa wa kazi. sukari kama dola ya marekani tu. ina flactuate inavotaka. ina-spini inavyopenda. ili mradi tu tuisome namba.
baada ya kufika kazini na kugundua muajiri bado hajanunua sukari kwa ajili ya wafanyakazi wake nikaona isiwe tabu. ngoja nijikune mwenyewe. nikatoa 3000 nikaagiza rafiki akaniletee sukari. hapo hapo nikiamini chenji haikosi kuwa 600 ambapo nitapata maandazi matatu kwa Mama Kemia (watu wa Iyunga Tech mnamkumbuka huyu mama?)
majibu ya niliyemtuma ni kama mnavoona hiyo attachment.
View attachment 375773
Alcema ktk moja ya mikutano yake kuw atakae kutwa na sukar kaificha ghalan/nyumban kwake hyo sukar atanyang'anywa na kugaiwa wananch buree,,,,, xaxa wangap walkutwa nazo afu cha maana hakuna,, punguza mzuka dogo!
huku makambako, njombe bei ni sh2500 kwa 1kg.
Inategemea ntu na ntu Mkuu.Mimi mwenye nahitaji sana kwa hio bei ya 2200/= Nitanunua walau kilo kumi maana kwa bei hii ambayo haieleweki leo inapanda kesho inashuka lazima tuwe na huu utamu wa kutosha ndani.
Mkuu hongera kwa kununua sukari bei hiyo kwani Hapa nilipo ni wilayani tena ndipo alipotokea kiongozi mkubwa tu wa nchi hii ambae yupo Kwenye operation ya tumbua majipu.
lakini sukari tunanunua kg1 sh.3000 kusema kweli siyo Dhambi na kama naongopa basi Mungu anihukumu kwa kuongopa.
Uko nchi ipi kijana ? sukari kilo ni Tshs 2,200 jana nimenunua dukani. Na hata nenda supermarkets mbali mbali haizidi bei ya Tshs 2,200/=. Au wataka sukari ipi upewe ?
Acha unafiki mfalme alituambia...tena mkaja huku mkifurahi alisema sukari atakayo kamata itagawiwa bure...au unamasikio tenge nn ??