Hali bado tete bei ya sukari

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Wakubwa wa kazi. Sukari kama dola ya Marekani tu. Ina-flactuate inavotaka. ina-spini inavyopenda ili mradi tu tuisome namba.

Baada ya kufika kazini na kugundua muajiri bado hajanunua sukari kwa ajili ya wafanyakazi wake nikaona isiwe tabu ngoja nijikune mwenyewe.

Nikatoa 3000 nikaagiza rafiki akaniletee sukari hapo hapo nikiamini chenji haikosi kuwa 600 ambapo nitapata maandazi matatu kwa Mama Kemia (watu wa Iyunga Tech mnamkumbuka huyu mama?)

Majibu ya niliyemtuma ni kama mnavoona hiyo attachment.

IMG_20160804_085032.png
 
Utabidi uzoee tu mbona SODA ilitoka 250 hadi 600
Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
 
Wacha kudanganya watu kwani bei elekezi ni sh 2300/=huyo muuzaji kaiokota hiyo sukari?
 
wakubwa wa kazi. sukari kama dola ya marekani tu. ina flactuate inavotaka. ina-spini inavyopenda. ili mradi tu tuisome namba.

baada ya kufika kazini na kugundua muajiri bado hajanunua sukari kwa ajili ya wafanyakazi wake nikaona isiwe tabu. ngoja nijikune mwenyewe. nikatoa 3000 nikaagiza rafiki akaniletee sukari. hapo hapo nikiamini chenji haikosi kuwa 600 ambapo nitapata maandazi matatu kwa Mama Kemia (watu wa Iyunga Tech mnamkumbuka huyu mama?)

majibu ya niliyemtuma ni kama mnavoona hiyo attachment.

View attachment 375773
Hahaaa mkuu, umenifurahisha ulivyoifatilia hiyo mia mbili!
Wasomi na wachumi wote wa chama cha mang'o wameshindwa kabisa na hii kitu.
 
Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
Inategemea ntu na ntu Mkuu.Mimi mwenye nahitaji sana kwa hio bei ya 2200/= Nitanunua walau kilo kumi maana kwa bei hii ambayo haieleweki leo inapanda kesho inashuka lazima tuwe na huu utamu wa kutosha ndani.
 
Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
Mkuu hongera kwa kununua sukari bei hiyo kwani Hapa nilipo ni wilayani tena ndipo alipotokea kiongozi mkubwa tu wa nchi hii ambae yupo Kwenye operation ya tumbua majipu.

lakini sukari tunanunua kg1 sh.3000 kusema kweli siyo Dhambi na kama naongopa basi Mungu anihukumu kwa kuongopa.
 
Kwanini wasiiingize sukari ya nje tu mbona kipindi cha jk tulikuwa tunaridhika tu
 
Ni wapi ilitamkwa kuwa sukari itagawiwa bure Tanzania nzima?? Ni nani alisema hivyo??!!! Mbona mnaleta mnasambaza propaganda zisizo na maana???
Acha unafiki mfalme alituambia...tena mkaja huku mkifurahi alisema sukari atakayo kamata itagawiwa bure...au unamasikio tenge nn ??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom