HALELUYA! Amu aachiwa!!

HALELUYA! Amu aachiwa!!

Hee mamie kulikoni huyu amu kuwekwa selo?????

Aah,shosti charminglady,kuna jamaa anajiita Amsterdam alikuja kututusi hapa mchana kuwa sie ni watu wazima hovyo,wapenda ngono,wasio na kazi nk,ndipo tukaingia msituni kupambana nae,ndipo shostito amu akawa majeruhi na kupelekwa selo ambapo amekaa kama dakika 30 hivi,na baada ya wadau kuomba afunguliwe,mods walitumia busara zao na kumfungua.
 
Last edited by a moderator:
The secretary mambo! Aliyesababisha mtafaruku yuko chumba cha baridi sana bibie, utamuona siku ya sikukuu ya wajinga, April mosi.

Bora afunguliwe siku nyingine maana anaweza kurudi na u.jinga mwingine!
 
Last edited by a moderator:
Aah,shosti charminglady,kuna jamaa anajiita Amsterdam alikuja kututusi hapa mchana kuwa sie ni watu wazima hovyo,wapenda ngono,wasio na kazi nk,ndipo tukaingia msituni kupambana nae,ndipo shostito amu akawa majeruhi na kupelekwa selo ambapo amekaa kama dakika 30 hivi,na baada ya wadau kuomba afunguliwe,mods walitumia busara zao na kumfungua.

Duh kumbe..... Watu wengine hovyooooo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
The secretary mambo! Aliyesababisha mtafaruku yuko chumba cha baridi sana bibie, utamuona siku ya sikukuu ya wajinga, April mosi.

Akitoka huko atakuwa kaisoma namba bado huyo C.T.U.Arushaone hawa watu wanachekesha wanakwepa ban siasa wanakuja kuipatia huku chit chat very aibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom