Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,311
- Thread starter
- #21
Mzee wetu aje maana ndoa za watu zipo mashakani
Kweli bwana,hata mie namsubiri kwa hamu!!!
Mzee wetu aje maana ndoa za watu zipo mashakani
Hahahahahaha!
Mkuu mimi ni mh CHAI CHUNGU kiboko ya warembo.
Kweli bwana,hata mie namsubiri kwa hamu!!!
napenda sana kutazama picture yako especially mdomo wako
Hahahahahaha!
Mkuu mimi ni mh CHAI CHUNGU kiboko ya warembo.
Kiboko wa warembo gani!? We mwenyewe hadi uote!?
Nifanyeje na mm ili niende selo?Kuna mtu mchana aliingia na kuleta thread anajiita Amsterdam kutuhumu chitchat kuwa wanajali mapenzi,sasa tukaanza kumjibu vibaya,na amu akiwemo nae cjui kilichotokea ila nilikujakuona thread ya kutoa taarifa kuwa jamaa kawekwa sero,basi tukaungana thread nyingine kuomba mods wamuachie amu na wamuathibu Amsterdam ambaye ndiye aliyeanzisha mtafaruku,hicho ndicho nnachokijua
CHAI CHUNGU a.k.a kahawa unatamani tundu sita?Nifanyeje na mm ili niende selo?