CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
baba v nlimuona kakonda sana analalamika kuwa wana chit chat hamuendi kumtembelea
Km vp nielekeze njia walau nkampe hi!!!
baba v nlimuona kakonda sana analalamika kuwa wana chit chat hamuendi kumtembelea
. Umenishtua ujue.....one eyed snake...
mnyama si mnyama, mdudu si mdudu...
ana nywele mkiani badala ya kichwani...
ana matumbo mawili pia yapo mkiani...
akiguswa tu, anafura na kujinyoosha kisha kuwa mgumuuuu...
mwisho wa siku hasira zikimtoka anatema sumu, na kusinyaaaa kama mchicha kikaangoni.
Mzee wetu aje maana ndoa za watu zipo mashakani
Km vp nielekeze njia walau nkampe hi!!!
pole sana kwa kuuguza,akipata nafuu mnaenda wapi recuperation?usijali mpenzi mimi nliwakilisha wana chit chat nikampelekea sabuni,matunda ameinjoi sana
. Umenishtua ujue.....
pole sana kwa kuuguza,akipata nafuu mnaenda wapi recuperation?
Cc😡filipo
Nasikia kumbe wewe ndie arafat ngumi jiwe
amu ntawapokea wangapi jamani? Filipo haeleweki.. Kuna Smile , Arabela , Paloma , wewe na sasa hivi kuna mtoto Jeska .... sweetlady kajitoa .Naogopa kufa mie.... TUKO WANGAPI?yani naomba unipokee mikono miwili tushirikiane tuwe wake wenza tumbane asiongeze wanawake wengine kumbuka umoja ni nguvu utengano udhaifu dada