Kuna watu hawakuwahi kukaa darasani, lakini wanawaajiri madokta (PhD) na maprofessor. What matters ni ubunifu tu wa maisha.inasikitisha kuona kwamba wote ni BLACK kids. Their future is simply doomed, hakuna tena darasa la kweli hapo.
Imetulia sana hii, ni vema watoto wakaizoea mihela kwenye umri mdogo coz hiyo ni kitu takatifu on earth, the rest ni porojo tu..!