Hakuna vyuo vikuu vya hovyo km vinavyomilikiwa na KKKT.

Hujaeleza kwanini ni vya hovyo kusema tu ni vya hovyo kwa sababu wameipa jina Iringa University badala ya Tumaini University haitoshi, si sababu ya msingi wala convincing 👎
 
Ukisoma comment ndo utajuwa hii nchi Kuna sehemu inavuja🙌
 
Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe.
Tumaini University sasa iko Makumira-Arusha. Tofauti kubwa ya vyuo vikuu vinavyomilikiwa na RC na hivi vya KKKT ni kwamba vyuo vikuu vya kanisa katoliki vinaongozwa na wasomi na utambukusho wao uko wazi, kuna Ruaha Catholic University(RUCU)- Uringa, Mwenge Catholic University(MWECAU)-Moshi kutaja baadhi.
Vyuo vya KKKT VC lazima awe mchungaji elimu yake ni Profesa wa aidha wa Agano Jipya, Kale. Ila RC ni wasomi wa fani mbalimbali zaidi ya Theology.
Sijui ni kwa namna gani wanaruhusu huu upuuzi.
Vya BAKWATA je?
 
Kumbe mnakandiana wenyewe kwa wenyewe wakristo ohooooo hii mada angeileta muslim ingekua full matusi wacha tuendelee kuona
 
Kwani hivo vyuo makanisa hamlipagi ada?

Kama mnalipa nani ndo mnufaika, yani anaepata faida au anaetumbua hizo Hela?

JE nyinyi kondoo mlochangia ujenzi mnanufaika vipi?

Na makafir maskin wanaweza soma Bure?
Muslim University of Morogoro (MUM) pako poa sana. Pale wanachuo hawalipi ada kutokana na ufadhili mnono unaopatiwa chuo kutoka Saudi Arabia (ndugu zetu katika imaan). Ukifika MUM wakufunzi wote ni Masheikh/Maustaadh/Maustaadhat wenye PhD zilizoshiba! Hakuna mkufunzi mwenye elimu ya hapa na pale.

Na uzuri wake kile chuo Waislam tulipewa bure na Rais wa wakati ule Mh. Benjamin Mkapa (Kaffir mla kitimoto huyu, astaghafulillah!!).
 
Wewe hujui tu, nadhani wakatoliki ndio wenye chuo vikuu vya hovyo. Nina ushahidi nimewahi kufanya kazi kwenye Moja ya chuo kikuu cha kikatoliki Nina miaka miwili tangu nimeondoka. Aiseeh! Wana roho mbaya wale watu.

Nakuunga mkono apa 👈

kwanza maelezo yake yamekosa msingi
Kuongozwa na Profesa wa Agano jipya na kale
Kunashida gani upande wa ufundishaji ‼️

Tofauti na wasomi wake?

Wakatoliki rohoo mbaya Chuki nikama wanafundisha kwenye Seminary zao.

Ndiomana Wakatoliki wana rohoo mbayaaa sana.

Tofauti na wengine madhehebu mengine

Ndiomana Rais akiwa Muislamu mala nyingi wanaoteuliwa ni Cristian lkn sio Wakatoliki

Sababu Rais akitokea uko kwenye Ukatoliki jamaa aibu hawana sijui
Wanajiona wao ndio wenye Haki ya kutawala peke yao❌️

Rais akiwa Mkatoliki
Ujue atazuga kuteuwa Waislamu wachache basi wengine wote ujue katoliki

Aya Madhehebu ya KKKT Wasabato Anglican
Wasahau teuzi 🫡🫡

Pona yao
RAIS awe Muislamu

Lkn waumini wenyewe ili bado hawajalielewa vizuri wapowapo tu Bendera fuata upepo😂😂

Ndiomana waumini wao
Wakiona Wakatoliki wanaenda mbio mbio
Kwa UPUMBAVU wao nawao wanajiingiza kwenye Mgogoro sio wao❌️

Mkiona Wakatoliki wanalia mjue madhehebu yenu kimya kimya wanacheka hamuwezi
kulia wote❌️

Ndio ilivo ukiona YANGA wanacheka ujue SIMBA kaumizwa
Na ivyo ivyo SIMBA akicheka !!

Wakatoliki ikiwa zamu yao
Chunguzeni wanateuwana wenyewe tu
Nyinyi wengine mnaona tu Wakristo wengi Serikalini lkn ndani yake mjue ni Wakatoliki %90

Kuna siku nilisema kama Wakristo wa tz wangekuwa wanajielewa
Basi Wakiona Rais ni Muislamu wangefahamu kinachofuata ni kilio kwa Wakatoliki 👈

Sababu Rais muislamu yupo huru zaidi 👈

tofauti na Mkatoliki kiongozi wa Kikatoliki nikama Maskofu wao wanawapangia maamuzi vile kumwita mwita kumuona
hakwishi ‼️‼️

Muislamu uteuwa Waislamu wenzie na Wakristo madhehebu mengine kwa uhuru kamili
MASHEKH hawana maneno kwake👈

Nitoe mfano JAJI MKUU RIP Augustino Ramadhani uyu kutokea Anglican
Aliteuwa na Muislamu Jakaya kikwete

Wakatoliki wanatabia wakiona fekeo limekuwa kubwa
Wanaanza kusema Rais Mdini
Sababu
Pamoja na ukweli Rais anateuwa Wakristo lkn kinachowauma wanakuwa sio kutokea Ukatoliki

Lkn ujinga wa Wakristo iyo ngoma ya Wakatoliki inawasomba Wakristo wote
Wenyewe nao wanaimba Rais muislamu ni Mdini sana.

Chunguza
leo chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan

MKUU WA WAMAJESHI
ni MKRISTO 👈

MKUU WA JESHI LA POLISI
NI MKRISTO 👈

Waziri wa Wizara ya mambo ya ndani ni Mkristo 👈

Waziri wa Ulinzi
ni Mkristo 👈

Manake Wizara za Kiusalama zipo chini ya Wakristo

Lkn Bado Wakatoliki wanalia Rais Mdini na neno lao kuu anapendelea waislamu ¿¿¿¿¿¿¿¿¿

Watasema ukweli kwamba tunafekwa sisi wanawekwa Waislamu na madhehebu mengine🤠🤠

Kilio chao kitaambana na uwongo na Unafiki Rais Mdini sana❌️

anapendelea Waislamu
zaidi ❌️
wanajua iyo ngoma Wakristo wote wataicheza kumpeleka mbio Rais muislamu 😥😥😥

MZEE Jakaya Mrisho Kikwete walimpata lkn Chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan

jasiri sana sikutegemea Asante sana kiongozi wangu
Kaziba masikio kuwausu
kabisa✅️

Wakristo nyinyi ambao si Wakatoliki mnatakiwa kusoma nyakati zilivo kabla kumuona
Rais muislamu Mdini ✅️

Kilio cha Wakatoliki wewe kinakuusu nini zinduka wacha Upumbavu kushikiwa akili na Wakatoliki✍️
 
Muslim University of Morogoro (MUM) pako poa sana. Pale wanachuo hawalipi ada kutokana na ufadhili mnono unaopatiwa chuo kutoka Saudi Arabia (ndugu zetu katika imaan). Ukifika MUM wakufunzi wote ni Masheikh/Maustaadh/Maustaadhat wenye PhD zilizoshiba! Hakuna mkufunzi mwenye elimu ya hapa na pale.

Na uzuri wake kile chuo Waislam tulipewa bure na Rais wa wakati ule Mh. Benjamin Mkapa (Kaffir mla kitimoto huyu, astaghafulillah!!).
Hakuna muislam anaejitapa kua na chuo

Nadhani upo out of context
 
Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe.
Tumaini University sasa iko Makumira-Arusha. Tofauti kubwa ya vyuo vikuu vinavyomilikiwa na RC na hivi vya KKKT ni kwamba vyuo vikuu vya kanisa katoliki vinaongozwa na wasomi na utambukusho wao uko wazi, kuna Ruaha Catholic University(RUCU)- Uringa, Mwenge Catholic University(MWECAU)-Moshi kutaja baadhi.
Vyuo vya KKKT VC lazima awe mchungaji elimu yake ni Profesa wa aidha wa Agano Jipya, Kale. Ila RC ni wasomi wa fani mbalimbali zaidi ya Theology.
Sijui ni kwa namna gani wanaruhusu huu upuuzi.
Njoo DarTu (former TUDACO) utukute Wanyakyusa tunavyokula keki ya JKKKKT. Tukia.ua tunaweza kufanya kikao Kyela/Tukuyu tena kilugha!
 
Nakuunga mkono apa 👈

kwanza maelezo yake yamekosa msingi
Kuongozwa na Profesa wa Agano jipya na kale
Kunashida gani upande wa ufundishaji ‼️

Tofauti na wasomi wake?

Wakatoliki rohoo mbaya Chuki nikama wanafundisha kwenye Seminary zao.

Ndiomana Wakatoliki wana rohoo mbayaaa sana.

Tofauti na wengine madhehebu mengine

Ndiomana Rais akiwa Muislamu mala nyingi wanaoteuliwa ni Cristian lkn sio Wakatoliki

Sababu Rais akitokea uko kwenye Ukatoliki jamaa aibu hawana sijui
Wanajiona wao ndio wenye Haki ya kutawala peke yao❌️

Rais akiwa Mkatoliki
Ujue atazuga kuteuwa Waislamu wachache basi wengine wote ujue katoliki

Aya Madhehebu ya KKKT Wasabato Anglican
Wasahau teuzi 🫡🫡

Pona yao
RAIS awe Muislamu

Lkn waumini wenyewe ili bado hawajalielewa vizuri wapowapo tu Bendera fuata upepo😂😂

Ndiomana waumini wao
Wakiona Wakatoliki wanaenda mbio mbio
Kwa UPUMBAVU wao nawao wanajiingiza kwenye Mgogoro sio wao❌️

Mkiona Wakatoliki wanalia mjue madhehebu yenu kimya kimya wanacheka hamuwezi
kulia wote❌️

Ndio ilivo ukiona YANGA wanacheka ujue SIMBA kaumizwa
Na ivyo ivyo SIMBA akicheka !!

Wakatoliki ikiwa zamu yao
Chunguzeni wanateuwana wenyewe tu
Nyinyi wengine mnaona tu Wakristo wengi Serikalini lkn ndani yake mjue ni Wakatoliki %90

Kuna siku nilisema kama Wakristo wa tz wangekuwa wanajielewa
Basi Wakiona Rais ni Muislamu wangefahamu kinachofuata ni kilio kwa Wakatoliki 👈

Sababu Rais muislamu yupo huru zaidi 👈

tofauti na Mkatoliki kiongozi wa Kikatoliki nikama Maskofu wao wanawapangia maamuzi vile kumwita mwita kumuona
hakwishi ‼️‼️

Muislamu uteuwa Waislamu wenzie na Wakristo madhehebu mengine kwa uhuru kamili
MASHEKH hawana maneno kwake👈

Nitoe mfano JAJI MKUU RIP Augustino Ramadhani uyu kutokea Anglican
Aliteuwa na Muislamu Jakaya kikwete

Wakatoliki wanatabia wakiona fekeo limekuwa kubwa
Wanaanza kusema Rais Mdini
Sababu
Pamoja na ukweli Rais anateuwa Wakristo lkn kinachowauma wanakuwa sio kutokea Ukatoliki

Lkn ujinga wa Wakristo iyo ngoma ya Wakatoliki inawasomba Wakristo wote
Wenyewe nao wanaimba Rais muislamu ni Mdini sana.

Chunguza
leo chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan

MKUU WA WAMAJESHI
ni MKRISTO 👈

MKUU WA JESHI LA POLISI
NI MKRISTO 👈

Waziri wa Wizara ya mambo ya ndani ni Mkristo 👈

Waziri wa Ulinzi
ni Mkristo 👈

Manake Wizara za Kiusalama zipo chini ya Wakristo

Lkn Bado Wakatoliki wanalia Rais Mdini na neno lao kuu anapendelea waislamu ¿¿¿¿¿¿¿¿¿

Watasema ukweli kwamba tunafekwa sisi wanawekwa Waislamu na madhehebu mengine🤠🤠

Kilio chao kitaambana na uwongo na Unafiki Rais Mdini sana❌️

anapendelea Waislamu
zaidi ❌️
wanajua iyo ngoma Wakristo wote wataicheza kumpeleka mbio Rais muislamu 😥😥😥

MZEE Jakaya Mrisho Kikwete walimpata lkn Chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan

jasiri sana sikutegemea Asante sana kiongozi wangu
Kaziba masikio kuwausu
kabisa✅️

Wakristo nyinyi ambao si Wakatoliki mnatakiwa kusoma nyakati zilivo kabla kumuona
Rais muislamu Mdini ✅️

Kilio cha Wakatoliki wewe kinakuusu nini zinduka wacha Upumbavu kushikiwa akili na Wakatoliki✍️
Hili gazeti halifai hata kufungia vitumbua
 
Ivi walokole na Wasabato wana vyuo hapa Tanzania??,najua vyuo vikuu 2 bora kabisa vya wasabato Kenya lakini kwa hapa Tz,sijajua kama kipo,
 
Back
Top Bottom