kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,089
Usimfananishe mfalme wa rhymes na yule mvaa madelaTatizo la huyu jamaa ni kujifanya anajua kila kitu wakati hana tofauti na Mrisho Mpoto
Usimfananishe mfalme wa rhymes na yule mvaa madelaTatizo la huyu jamaa ni kujifanya anajua kila kitu wakati hana tofauti na Mrisho Mpoto
Inaitwa nitarudi na roho yangukuna moja inaitwa je nitarudi ?aisee afande ni deep thinker
Wote wana rasta chafu.Usimfananishe mfalme wa rhymes na yule mvaa madela
Unakichaa wewe,huyu sio yule afande selle wa kituo cha mabatini aliyekukamata na misokoto ya bangi,huyu ni yule afande selle mkali wa rhymes ambaye soggy doggy alikuwa akimuona analiaBangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa
Sikiliza mashairi ya hiyo nyimbo inaitwa dini tumeletewa alafu uone kama haujatengua kauliAfande sele Hamna anachoimba simutofautishi na mrisho mpoto
Majibu yaki chadema utayajuwa tuBangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa
Bangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa
Umeongea kweliHuwezi kumuelewa wewe dot.com
Koba. Ditto. Afande. Ditto siku hizi anabana pua!wasanii tunashangaa...ukiinuka sisi tunakaa...ukipotea kwetu furaha...adui muombee njaa...noma sanaa...
Ndio maana afande akawapishaHadi watoto wadogo wa 90s nao wanamdisi Afande?? Hahahaha ama kweli maajabu yapo JF.
ingia youtube andika tu jina lake, Afande selle, zitakuja nyingi tu!Wekeni hata wimbo mmoja tusioijua tuisikie
Bangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa
Hahaaaaaaaaa!!!!Unakichaa wewe,huyu sio yule afande selle wa kituo cha mabatini aliyekukamata na misokoto ya bangi,huyu ni yule afande selle mkali wa rhymes ambaye soggy doggy alikuwa akimuona analia
Heshimu mawazo ya watu. Hizo bangi ulimlisha? Afande ni baba wa familiya. Mpe heshima yakeBangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa
Kwa hiyo nawewe unakubali kwamba hakuna anaemfikia kwa mashairi kisa katoa mawazo yake tuyaheshimu? By the way alivyovua nguo jukwaani alikua hana watoto? Tusilee ujinga, kukataa kwamba havuti bangi utakua unalako jamboHeshimu mawazo ya watu. Hizo bangi ulimlisha? Afande ni baba wa familiya. Mpe heshima yake