Hakuna uzito wa mashairi kama yangu uliotokea katika taifa hili – Afande Sele

Sasa mtoto aliyezaliwa 1997 naye anasema hajawahi kumuelewa Afande. Watoto wa JF bwana mna matatizo. Na mtu kujisifu na kujikweza ni katika mila na desturi za hip hop. Hapa nimemjibu mchangiaji aliyemdisi kwamba kwa yeye kujiita mfalme wa rhymes na Prof J asemeje.
 
Heshimu mawazo ya watu. Hizo bangi ulimlisha? Afande ni baba wa familiya. Mpe heshima yake
Kwa hiyo nawewe unakubali kwamba hakuna anaemfikia kwa mashairi kisa katoa mawazo yake tuyaheshimu? By the way alivyovua nguo jukwaani alikua hana watoto? Tusilee ujinga, kukataa kwamba havuti bangi utakua unalako jambo
Screenshot_20180120-170741.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom