Bei ya sukari Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma ni bei ya juu sana na hapatikani

Kinyarugina

Member
May 12, 2022
42
58
Kumekuwa na ongezo la bei ya sukari wilayani Kibondo huku sababu zinazotolewa kuwa kuna uhaba wa sukari:

Wakala alie pewa kuhudumia sukari wilaya hii kama agent anae toa kiwandani amekuwa akileta sukari na kuwa bei kubwa.

Mfano kwa sasa sukari inauzwa @ 3500/= kwa kg 1 na huku sukari ya mfuko ikiuzwa mpka elfu kwenye maduka ya jumla 74.

Mpka sasa ni zaidi ya miezi kadhaa sukari ya pact ile inayofungwa kwa kg 1 haipatikani.

Serikali, wilayani kibondo mkoa Kigoma muangalie changamoto na uhaba sukari uliopo wilayani humu.
 
Huko ndio anakotokea naibu rais na naibu waziri mkuu. Isitoshe dada Joy naye katokea huko huko bila kumsaha Kafulia.
 
Back
Top Bottom