Vema Mkuu umewaambia. Kila mtu anakuna anapofikia alafu kikubwa kabisa humu jf ukiingia na simu haionyeshi ni aina gani mtu anatumia maandishi ni Yale Yale mchango ni ule ule simu ni simu jina kelele tu. Kuna hizi techno C8 zina camera matata sana pia charge ni inakaa zaidi ya yote tochi yake ni balaa umeme ulikatika hospital moja hivi binafsi wakawasha sijui vi sumsung vyao na nyinginezo Mzee nikawasha dude wacha wakati wa kuondoka nisiombwe ilale na mgonjwa nikagoma aisee.Hao mnaoponda Techno mtuambie mlinunua za bei gani?maana kama mlinunua za bei ya chini mnategemea nini. Isije ikawa mnaosifia hizo simu nyingine mnazitumia kama mayai halafu mnajisifia zinadumu kumbe zinadumu kwa sababu mnazibembeleza sana katika matumizi.
[emoji23] [emoji38] [emoji38] Hapo kwenye Tochi Sasa[emoji119]Vema Mkuu umewaambia. Kila mtu anakuna anapofikia alafu kikubwa kabisa humu jf ukiingia na simu haionyeshi ni aina gani mtu anatumia maandishi ni Yale Yale mchango ni ule ule simu ni simu jina kelele tu. Kuna hizi techno C8 zina camera matata sana pia charge ni inakaa zaidi ya yote tochi yake ni balaa umeme ulikatika hospital moja hivi binafsi wakawasha sijui vi sumsung vyao na nyinginezo Mzee nikawasha dude wacha wakati wa kuondoka nisiombwe ilale na mgonjwa nikagoma aisee.
Aisee kila ajikune anapofikia na tuheshimiane mjini linakwama ni langu sio lako sijui linatumia technologia gani hilo sijui ila ninachojua ninamiliki simu janja period.
[HASHTAG]#Point[/HASHTAG] of correction tecno hana ipad(Apple product) ana tablets so iPad ni mamb mengin so ukitaj iPad alaf ukaiusihanisha na alaj tekno utakuw unawakosea AppleMm Tecno yangu ipo Poa. Nikiingia Opera mini Sina tatizo. Inaonekana mmenunua simu zenu karume, tandale, mbagala za mafungu. Mtajijuuuuuuu mm nafurahia na iPad yangu Tecno
iPhone Ni nzuri ila kwa sisi tunaopenda kudownload vitu toka vyanzo mbalimbali kwenye mitandao inatugharimu.Muhame mje iphone huku hakuna matatizo kabisa. NAWASILISHA
Hiyo ndio pointi mkuu kuwa kumiliki Tecno sio mapenzi au ubora bali ni sababu za kiuchumi tu.Kila mtu na uwezo wake wa kujikuna, hatuwezi kufanana...sasa ukiniambia nisinunue tecno wakati uwezo wangu ni wa simu hizohizo hapo inakuaje.
Hahahahahahahaha hili ni tusi zito mno.Nawashukuru sana tecno maaana sio wameleta simu bali vifaa vya mawasiliano.