Hakuna sababu ya kuzisifu Shule Binafsi

Hakuna sababu ya kuzisifu Shule Binafsi

Shule maalum zipo haziperform kama zaman. Kifupi kodi tunakatwa tupate public services including elimu ila ndo bora liende

Kama unakumbuka wakati wa Maghembe walizifuta shule za Vipaji... Hakuna tena vipaji maalumu.

Hata hizo shule za vipaji wanapelekewa wabovu siku hizi.. Wanashindwa kuwachuja.
 
Hatari sana
 
Kwahiyo hoja ni kwamba tuanzie kuboresha misingi

Matokeo ya kidato ni matokeo ambayo ya darasa la 7.

Elimu ya Msingi ni base ya Elimu... Msingi ukiwa mbovu ni lazima nyumba ibomoke tu.

Wanafunzi darasa la 7 wanamaliza wakiwa hawajui kitu.. Ni ngumu kutoboa.
 
Kama walimu wenye sifa watabaki hapo kwanini wasifaulu? Jiulize zamani kwanini GoT schools nyingi zilikuwa bora kuliko private schools? Waalimu walikuwa wanathaminiwa siku hizo na ilikuwa sifa kuwa mwalimu.
 
Sawa walichujwa lkn ni kwa matokeo ya drs la saba....c wanavyoingia shuleni hata kama ni shule ya kipaji....na cha kujiuliza aliyekwenda shule ya kipaji na kwa akili yake???au??

Siku hizi hakuna shule za vipaji Tanzania.. Wakati wa Maghembe walifuta hayo mambo

Haziko kama mwanzo.
 
Kama walimu wenye sifa watabaki hapo kwanini wasifaulu? Jiulize zamani kwanini GoT schools nyingi zilikuwa bora kuliko private schools? Waalimu walikuwa wanathaminiwa siku hizo na ilikuwa sifa kuwa mwalimu.
Zamani watu walokua wanaenda private (isipokua mission) ni wale waliokua wamefeli serikali hawajachagulia. Ila siku hizi ukifaulu unaenda zako private
 
Dohh!!!....me ningeshauri kuwa kila mwfz anayefauru kabla hajaruhusiwa kuanza masomo afanyiwe interview kwanza then akikizi viwango aruhusiwe na asipokizi hapo kutakuwa na kitu cos haiwezekani mwfz afaulu halaf afike kwenye shule yenyewe afeli
 
Matokeo ya kidato ni matokeo ambayo ya darasa la 7.

Elimu ya Msingi ni base ya Elimu... Msingi ukiwa mbovu ni lazima nyumba ibomoke tu.

Wanafunzi darasa la 7 wanamaliza wakiwa hawajui kitu.. Ni ngumu kutoboa.
lakini pia elimu imekuwa siasa sasa kwa shule za serikali kama wakati wa kutoa elimu bure ulikuwa haujafika hakukuwa na haja ya kutudanganya mkuu najua ninachokiongea
 
Dohh!!!....me ningeshauri kuwa kila mwfz anayefauru kabla hajaruhusiwa kuanza masomo afanyiwe interview kwanza then akikizi viwango aruhusiwe na asipokizi hapo kutakuwa na kitu cos haiwezekani mwfz afaulu halaf afike kwenye shule yenyewe afeli

Kuna kipindi kilitangaziwa kitu kama hicho nadhani ilikuwa 2011...

Lakini ilikuwa ni siasa tupu.
 
lakini pia elimu imekuwa siasa sasa kwa shule za serikali kama wakati wa kutoa elimu bure ulikuwa haujafika hakukuwa na haja ya kutudanganya mkuu najua ninachokiongea

Hii nchi tu wazuri ktk siasa tu.
 
Kama walimu wenye sifa watabaki hapo kwanini wasifaulu? Jiulize zamani kwanini GoT schools nyingi zilikuwa bora kuliko private schools? Waalimu walikuwa wanathaminiwa siku hizo na ilikuwa sifa kuwa mwalimu.

Zamani ilikuwa wanaoenda Private ni wale waliofeli.. Lakino siku hizi serikali wanaobaki ni wale ambao waliofeli na private wanaenda waliofaulu.
 
Ukweli 100%, wakiondoa michuzo ya kuchukua wanafunzi cream wangepata zero nyingi kuliko hizi za serikali
 
Zamani watu walokua wanaenda private (isipokua mission) ni wale waliokua wamefeli serikali hawajachagulia. Ila siku hizi ukifaulu unaenda zako private

Watoto wengi wenye akili wanasoma serikali kutokana na Uwezo wa kifedha kuwa mdogo.

wenye uwezo wanawahamisha.
 
Ukweli 100%, wakiondoa michuzo ya kuchukua wanafunzi cream wangepata zero nyingi kuliko hizi za serikali

Hizi shule zina zero.

Ila wanachokifanya ni kuzihamisha hizo zero.Kwanini hawawafundishi na kuwabadilisha ikiwa wao ni mabingwa.
 
Habari:

Toka matokeo ya kidato cha nne kumekuwa na mjadala kwanini Shule ya binafsi zimefanya vyema zaidi .

1. Kwanza si kweli kwamba hizi shule hazitoa zero bali wanachofanya ni kuzihamisha.

Hizi shule wanachukua wanafunzi na kuanza kuwachuja..... Hapa wanaoshindwa kuwafundisha wanachuja na kuwaondoa... Hapa ina maana wangebaki lazima wangetaga.

2. Shule za serikali hawachagui wanafunzi wanaowataka, wanaletewa..

Pia hawana mamlaka ya kuwachuja... Naamini nao wangekuwa wanaruhusiwa kuchagua watoto na kuwachuja wangetoa A na Kaizerege.

Kaizerege inachofanya ni kuchukua wanafunzi wenye A na kuziboresha... Ili tuwajue kama wanafundisha vyema wachukue wanafunzi wenye zero na kuwawezesha kupata A (From 0 to A).

Mfano:

Wachukuliwe wanafunzi wa shule X ya Kata wahamishiwe Kaizerege na wasiruhusiwe kuwachuja tuone kama watatoa A..

Elimu ya Tanzania ni Usanii Mtupu.
Sababu ya kuzisifu shule za private zilizofanya vizuri zipo. Ni kweli wanachuja wanafunzi, lakini hata vipaji maalumu wanachukua cream, lakini ziko wapi. Kwahiyo kinacho sababisha shule iperform si akili za wanafunzi tu bali vitu vingine ambavyo naamini unavijua
 
Kwanza:

Wakati wa Maghembe walifuta shule za vipaji maalum.

Pili:

Hata kama wangekuwa wanachukua cream, ktk msafara wa mamba kenge nao wamo... Ila hawaruhusiwi kuwatoa hao kenge

Seminary wanawachuja wakati wa kuwapokea kidato cha kwanza wanachukua cream. Hiyi cream wanaendelea kuichuja.
 
MWENGINE ANAINGIA MAABARA KUANZIA FORM ONE NA MWINGINE MAABARA MPAKA AFIKE FORM 4 AFU UNAWAPIMA KWA MTIHANI MMOJA NOT FAIR
Siyo kila mtu anaiweza elimu ya Secondary. Tusilazimishe ziro zinathibitisha
 
Habari:

Toka matokeo ya kidato cha nne kumekuwa na mjadala kwanini Shule ya binafsi zimefanya vyema zaidi .

1. Kwanza si kweli kwamba hizi shule hazitoa zero bali wanachofanya ni kuzihamisha.

Hizi shule wanachukua wanafunzi na kuanza kuwachuja..... Hapa wanaoshindwa kuwafundisha wanachuja na kuwaondoa... Hapa ina maana wangebaki lazima wangetaga.

2. Shule za serikali hawachagui wanafunzi wanaowataka, wanaletewa..

Pia hawana mamlaka ya kuwachuja... Naamini nao wangekuwa wanaruhusiwa kuchagua watoto na kuwachuja wangetoa A na Kaizerege.

Kaizerege inachofanya ni kuchukua wanafunzi wenye A na kuziboresha... Ili tuwajue kama wanafundisha vyema wachukue wanafunzi wenye zero na kuwawezesha kupata A (From 0 to A).

Mfano:

Wachukuliwe wanafunzi wa shule X ya Kata wahamishiwe Kaizerege na wasiruhusiwe kuwachuja tuone kama watatoa A..

Elimu ya Tanzania ni Usanii Mtupu.
Umeongea vema,.na kwa kuongezea,hzo shule binafsi utakuta interview ya kuingia kidato cha kwanza wanafanya wanafunzi kama laki mbili hvi eg marian,kati ya hao laki mbili wanachukuliwa kati ya 40 hadi 90 hvi,maana ya wanachukua wale ni bora ambao hata wangesoma shule zingine wangefanya vzuri na hapo wana wachuja tena kuwapata bora zaidi ukichanganya na mazingira lazima wafaulu sanaa,..,.hizi shule zinafanya biashara tu ila hazisaidii taifa maana hao wanaochukua ni ambao wana uwezo tayari,wao hawazalishi wale wa kawaida kuwafanya waweze kufaulu vema
 
Back
Top Bottom