Hakuna sababu ya kuzisifu Shule Binafsi

Hakuna sababu ya kuzisifu Shule Binafsi

Walimu wapo kwenye mgomo baridi.. Unawezaje kutegemea ngombe akupe maziwa wakati unashindwa kumuhudumia vizuri! Walimu hasa wa serikali wanachangamoto nyingi sana.. Tunaishi nao tunaona wanayayoyapitia.. Lakini kingine pia wanafunzi wenyewe wa siku hizi ni majanga.. Hasa hawa wa uswahilini..
Mkuu nakuunga mkono suala la maslahi kwa walimu wa shule za serikali lakini ZAIDI hapo kwenye wanafunzi wenyewe hawa tunaoishi nao uswahilini, yaani kwa kweli ni janga. Unaweza kukuta walimu washule wanajitahidi sana kuwainua kitaaluma kwa kuwawekea program za kama remedial, mitihani ya mara kwa mara, badala ya wanafunzi kuchangamkia hayo, wengi hawashiriki, wanaona usumbufu, matokeo yake ni kuanguka kitaaluma licha ya juhudi za walimu. Hili nina ushuhuda nalo. Lakini wale wenye moyo wa kusoma mbona wanatoka tu katika shule hizi hizi za serikali, wapo watoto wanapata I kwenye shule za kata wakati kwenye baadhi ya shule zinazosomeka wengine wamepata III au IV. Pamoja na mfumo watoto wetu wengi hawana mwamko na elimu, ujuaji na ujana mwingi. Ndio kuna mtu alisema watoto wengi wa masikini na akili zao pia masikini, hawajiongezi.
 
Habari:

Toka matokeo ya Kidato cha Nne kumekuwa na mjadala kwanini Shule ya binafsi zimefanya vyema zaidi .

1. Kwanza si kweli kwamba hizi shule hazitoi zero bali wanachofanya ni kuzihamisha.

Hizi shule wanachukua wanafunzi na kuanza kuwachuja..... Hapa wanaoshindwa kuwafundisha wanachuja na kuwaondoa... Hapa ina maana wangebaki lazima wangetaga.

2. Shule za serikali hawachagui wanafunzi wanaowataka, wanaletewa..

Pia hawana mamlaka ya kuwachuja... Naamini nao wangekuwa wanaruhusiwa kuchagua watoto na kuwachuja wangetoa A na Kaizerege.

Kaizerege inachofanya ni kuchukua wanafunzi wenye A na kuziboresha... Ili tuwajue kama wanafundisha vyema wachukue wanafunzi wenye zero na kuwawezesha kupata A (From 0 to A).

Mfano:

Wachukuliwe wanafunzi wa shule X ya Kata wahamishiwe Kaizerege na wasiruhusiwe kuwachuja tuone kama watatoa A..

Elimu ya Tanzania ni Usanii Mtupu.

=========
Maoni mengine:
Mtoa mada umesahau kuwa hata serekali pia inachuja, au unataka kuniambia ni wote wanaomaliza darasa la saba wanakwenda sekondari?
 
haya mapombe mnayokunywa kila wakati ni mabaya.. yanasababisha mnakua mnaongea maji taka tu kila wakati. unashindwa kujiheshimu hata kidogo kwa sekunde chache? why unashindwa kuficha upumbavu wako?




Shule ya lowassa imekua ya ngapi kitaifa maana alituambia elimu elimu elimu
 
Ndio hivo mkuu. Na sio zoezi la mda mfupi ni lazima liwe zoezi endelevu. Unakumbuka serikali ilipoanza kuharibu elimu yetu? Ni pale walipokuwa wanachagua na kukubali hadi mwenye div 4 ya mwisho kusomea ualimu wa msingi. Ikawa sasa hata raia tu mtaan wakiona mtoto amefeli wanamshangaa kwa kumuuliza "yani umekosa hata ualimu?" Kwa hyo ualimu ikawa ni fani ya kudharaulika na kuongezea chumvi kwenye kidonda maslahi ni duni na mazingira ya kazi ni balaaa. Msingi kwanza
ccm hajali kabisa elimu bora na kama ulimsikiliza vizuri magufuli wakati wa kampeni hakuwahi kusisitiza umuhimu wa elimu bora!
 
Naungana na hoja yako. Shule za binafsi zinafanya biashara ya kutoa elimu. Lazima zifundishe na kushindisha vizuri hili zipate wateja. Na katika biashara endelevu kuna "segmentation" na "target customers" ndio maana wanachuja. Shule makini wanachuja na sio kuingiza amabao hawajiwezi. Sioni sababu ya kuwalaumu baada ya kuwasifia. Anayewalaumu hajui maana ya biashara endelevu. Hata University mahili Kama Havard, Stanford za Marekani na Oxford na Cambridge za Uingereza wana mchujo wa hali ya juu. Hivi vitu vinafanyika katika ngazi zote za elimu kwenye shule na vyuo bora duniani.
unategemea mtu kama nape moses nnauye aliyefeli form four akasome Harvard University?
 
Shule za Kata wanapokea wanafunzi 200... Kati yao 10 ni wazuri 190 ni wabovu.


Mwalimu anapambana na wale 190 mwisho wa siku na wale 10 wanaanza kushuka ili kuendana na kasi ya wale wengi...



Shule za Private ni Usanii Mtupu.
sasa hao 190 wabovu wanatokea wapi? nani anasema waende sekondari kama ni wabovu?
 
Unatetea usivyojua we nyumbu.unaijua Alpha secondary &high school
ok kama Alpha Secondary (S02549) ni ya Lowassa matokeo yake ni kama ifuatavyo: Div One-36, Div Two-59, Div Three-10, Div Four-0, Div 0-0! Nadhani umerdhika!
 
Habari:

Toka matokeo ya Kidato cha Nne kumekuwa na mjadala kwanini Shule ya binafsi zimefanya vyema zaidi .

1. Kwanza si kweli kwamba hizi shule hazitoi zero bali wanachofanya ni kuzihamisha.

Hizi shule wanachukua wanafunzi na kuanza kuwachuja..... Hapa wanaoshindwa kuwafundisha wanachuja na kuwaondoa... Hapa ina maana wangebaki lazima wangetaga.

2. Shule za serikali hawachagui wanafunzi wanaowataka, wanaletewa..

Pia hawana mamlaka ya kuwachuja... Naamini nao wangekuwa wanaruhusiwa kuchagua watoto na kuwachuja wangetoa A na Kaizerege.

Kaizerege inachofanya ni kuchukua wanafunzi wenye A na kuziboresha... Ili tuwajue kama wanafundisha vyema wachukue wanafunzi wenye zero na kuwawezesha kupata A (From 0 to A).

Mfano:

Wachukuliwe wanafunzi wa shule X ya Kata wahamishiwe Kaizerege na wasiruhusiwe kuwachuja tuone kama watatoa A..

Elimu ya Tanzania ni Usanii Mtupu.

=========
Maoni mengine:


kama ingekuwa kuongea ndio kigezo cha usayansi au uchunguzi, naamini wewe ungegundua dawa ya magonjwa sugu kama ukimwi na kansa.

nyanya inayouzwa tandale sio sawa na nyanya inayouzwa super makert, lazima utofautishe bidhaa kwa walaji wako yaani wateja.

tatizo unaishi katika zama za ujamaa bado.

unataka mtoto wa masikini akae dawati moja na mtoto watajili? nakushauri anzisha dunia yako

work harder so as your descendant might enjoy the beauty of the world, una lala wataka mtoto asome feza?

stupid
 
kama ingekuwa kuongea ndio kigezo cha usayansi au uchunguzi, naamini wewe ungegundua dawa ya magonjwa sugu kama ukimwi na kansa.

nyanya inayouzwa tandale sio sawa na nyanya inayouzwa super makert, lazima utofautishe bidhaa kwa walaji wako yaani wateja.

tatizo unaishi katika zama za ujamaa bado.

unataka mtoto wa masikini akae dawati moja na mtoto watajili?????? nakushauri anzisha dunia yako

work harder so as your descendant might enjoy the beauty of the world, una lala wataka mtoto asome feza?

stupid


Wewe kweli kiazi... Hata kujua kuandika huwezi.


"Matajili" ni kitu gani
 
Mleta Mada Anaukwepa Ukweli, SHULE BINAFSI WAALIMU WANALIPWAJE? JE WAALIMU WANAMADAI YOYOTE WANAYODAI KWA WAMILIKI WA SHULE HIZO? Upande Wa Serikali Ni Uhuni Mtupu, Mathalani Ninae Mwalimu Hapa Hajalipwa Mishahara Ya Miezi Mitano Ya Tangu Mwaka 2011 Hadi Leo, Anaenda Utumishi Hapo Kwanza Alikuta Form Ya Madai Yake Imetupwa Kabatini, Alipoenda Kwa Mkurugenzi, Mkurugenzi Alimuomba Msamaha Na Akamwambia Asubirie, Jina Liliingizwa Tar 14 Mwezi 9 2015, Hadi Sasa Hajalipwa Mishahara Yake Hiyo, Je Huyo Mwalimu Unategemea Akiingia Darasani Afundishe Kwa Moyo Wa Dhati? Haya Kuna Waalimu Hawajapanda Madaraja Zaidi Ya Miaka Sita Unategemea Nini? Hata Waliopanda Hawajabadilishiwa Mishahara Yao Iendane Na Madaraja Yao, Hapo Unategemea Nini? JENGENI MAABARA HATA YA MAGOROFA LAKINI WANAFUNZI WATAFELI TU, KWA SABABU WAALIMU HAMUWATAMBUI KATIKA MIPANGO YENU, KILA SIKU WALIMU NDO WANAOIDAI SERIKALI, MBONA SISIKII WAKURUGENZI WAKIIDAI SERIKALI MISHAHARA YAO?
 
Shule za binafsi ni janga kubwa zaidi ya tunavyoona kwa sababu hawawezi kumchukua kilaza na wakamfundisha akawa sawa na wenzie,wanachokifanya wanamchuja na kubakia na cream ambao ni rahisi kuelewa na washajua kwa kiasi flan.Mfano mzuri ni hizo saint..etc.
Kwangu mimi shule bora ni ile ambayo inaweze kumfanya mbumbu wa KKK na akaweza. Hili jipu special Prof.Ndalichako anatakiwa alitumbue kwa haraka zaid.No mchujo kwa private na km ukiwepo basi uwe ni ule wa form 2 basi..hapo tutaenda sawa sio km ss mara form 1 mchujo,2 mchujo,3 mchujo...huku nikakatiza ndo za watoto bila sababu ya msingi na kuwaongezea wazazi pressure na stress.
 
Back
Top Bottom