Kweli Kabisa. Hizo shule wanachagua wale wenye marks za juu tu, tena mwanzoni walikuwa wanawahamisha wasiofikia viwango. Hata bila kuhamisha kama walikuwa vipanga chini kwa nini wapate zero baadaye?Dunia hakuna usawa nyinyi mnataka usawa.kwa kila jambo.. serikali nayo huchuja kwani ina shule za vipaji maalum....mzumbe ,ilboru,kilakala na msalato.
Hao waliofaulu ni watoto watqnzania kwahiyo tujivunie ....kwani ud mbona nayo inachikuwa cream tu?
Well saidKwanza:
Wakati wa Maghembe walifuta shule za vipaji maalum.
Pili:
Hata kama wangekuwa wanachukua cream, ktk msafara wa mamba kenge nao wamo... Ila hawaruhusiwi kuwatoa hao kenge
Seminary wanawachuja wakati wa kuwapokea kidato cha kwanza wanachukua cream. Hiyi cream wanaendelea kuichuja.
Well said
Kuna wanaotoka private kwenda hzo special schools huku wakiwa hawa derseve kiuhalisia kwenda huko na sio kweli kila wanao perform darasa la saba wanaweza perform secondary, kinachowasaidia hzo private ni kuchuja
Acha kabisa mkuu mpaka uwaone wanafunzi wenyewe ndo utajua jinsi hili jambo lilivo zito. Mwanafunzi wa form one hajui kusoma kiswahili hawezi kuandika. Lakini ukiangalia vitabu vya primary vina ujuzi wa kutosha sasa inakuwaje mwanafunzi anafaulu kuingia sekondari akiwa hana ajualo? Amefaulu fauluje? TUKUBALI TUKATAE LAZIMA KITU KIFANYIKE KUBORESHA ELIMU YA MSINGI. PROF. NDALICHAKO FANYA HILI NA TANZANIA ITAKUKUMBUKA DAIMAsasa hao 190 wabovu wanatokea wapi? nani anasema waende sekondari kama ni wabovu?
pole wewe! hivi watototo wa magufuli wamesomea/wanasomea wapi?Shule za binafsi ni janga kubwa zaidi ya tunavyoona kwa sababu hawawezi kumchukua kilaza na wakamfundisha akawa sawa na wenzie,wanachokifanya wanamchuja na kubakia na cream ambao ni rahisi kuelewa na washajua kwa kiasi flan.Mfano mzuri ni hizo saint..etc.
Kwangu mimi shule bora ni ile ambayo inaweze kumfanya mbumbu wa KKK na akaweza. Hili jipu special Prof.Ndalichako anatakiwa alitumbue kwa haraka zaid.No mchujo kwa private na km ukiwepo basi uwe ni ule wa form 2 basi..hapo tutaenda sawa sio km ss mara form 1 mchujo,2 mchujo,3 mchujo...huku nikakatiza ndo za watoto bila sababu ya msingi na kuwaongezea wazazi pressure na stress.
we tafuta pesa usomeshe wanao achana na usanii wa elimu bure za akina magufuli wa ccm!Toa na mchanganuo wa ada zake,FEZA wanasubiri
Kumbe wanatafuta akina mes ,neyma Sanchez wengine out sasa hapo walimu watafundisha kwa urahisi kabisaWalimu wapo kwenye mgomo baridi.. Unawezaje kutegemea ngombe akupe maziwa wakati unashindwa kumuhudumia vizuri! Walimu hasa wa serikali wanachangamoto nyingi sana.. Tunaishi nao tunaona wanayayoyapitia.. Lakini kingine pia wanafunzi wenyewe wa siku hizi ni majanga.. Hasa hawa wa uswahilini..
Big up kwa maono pevu umegonga penyewe. Kama wanajeuri ya kufundisha kwa nini wawakatae wanafunzi wenye uwezo mdogo?? Wanataka kutuaminisha kuwa wao wanadahili mageneous peke yake?? Wako kibiashara zaidi.Habari:
Toka matokeo ya Kidato cha Nne kumekuwa na mjadala kwanini Shule ya binafsi zimefanya vyema zaidi .
1. Kwanza si kweli kwamba hizi shule hazitoi zero bali wanachofanya ni kuzihamisha.
Hizi shule wanachukua wanafunzi na kuanza kuwachuja..... Hapa wanaoshindwa kuwafundisha wanachuja na kuwaondoa... Hapa ina maana wangebaki lazima wangetaga.
2. Shule za serikali hawachagui wanafunzi wanaowataka, wanaletewa..
Pia hawana mamlaka ya kuwachuja... Naamini nao wangekuwa wanaruhusiwa kuchagua watoto na kuwachuja wangetoa A na Kaizerege.
Kaizerege inachofanya ni kuchukua wanafunzi wenye A na kuziboresha... Ili tuwajue kama wanafundisha vyema wachukue wanafunzi wenye zero na kuwawezesha kupata A (From 0 to A).
Mfano:
Wachukuliwe wanafunzi wa shule X ya Kata wahamishiwe Kaizerege na wasiruhusiwe kuwachuja tuone kama watatoa A..
Elimu ya Tanzania ni Usanii Mtupu.
=========
Maoni mengine:
Habari: