Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,146
- 48,388
Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe
1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)
2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)
3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)
4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)
5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka 5 na miezi 5)
6. Samia Suluhu Hassan 2021 hadi Sasa.
Kati ya hawa Marais hakuna rais hata mmoja aliyefikia viwango vyq Julius Kambarage Nyerere kwenye nyanja mbali mbali kuanzia uchumi, demokrasia, diplomasia, na maendeleo ya jamii.