na wewe ni wale wale mpaka mpepewe[emoji23] ngoja nimalizie mkuu
na wewe ni wale wale mpaka mpepewe[emoji23] ngoja nimalizie mkuu
Ila dini inapatana na uzinzi.Alafu mengine yanavuta sigara, yanakunywa pombe.
Sasa anakuja ananuka sigara na pombe bila kujali Mtu umeshika dini yako hivyo hupatani kabisa na sigara wala pombe.
Mkuu nguvu zako za kiume zipo mashakani..! Mie nikiona hata jicho tu la mwanamke lililolegea huwa nadindisha sasa wewe pamoja na kuvuliwa kabisa bado hudindi..?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwahi kufikiria hata siku moja kwamba itatokea siku nikanunua sex kwa kahaba!nilikuwa nadhani tu ni story za kusadikika!Nakumbuka mwaka 2009 nikawa nimeenda Malawi kucheki fursa Fulani na kujikuta nimekaa miezi takribani 4 Pale Blantyre!kwa vile nilikuwa full stressed sana kipindi hicho sikujaribu kudeal na mwanamke yoyote!sababu ya kwanza nilikuwa juu ya mawe na sababu ya pili mwenyeji wangu niliyekuwa naishi nae alikuwa ameowa so ni vigumu Mimi kuleta demu pale!sasa nikajikaza na ugumu ila siku wazo likajinijia ngoja nifanye kautafiti kidogo nijue sehemu wanajiuza makahaba na kujua bei zao kwa ujumla ambazo bei zao nilikuwa ni around 2000-3000 Malawian kwacha!sasa baada ya kujua sehemu husika ikabidi nipange plan yakumtoroka mwenyeji wangu ile mida ya wanga ili nijilie mzigo kimya kimya bila yeye kujua!mida ya saa nne hivi ilipofika nikazuga naenda kununua vocha maana sigara sivuti[emoji23] mzee huyo nikatokomea kusikojulikana!kuhusu kuchelewa nilikuwa sio tatizo maana ningesingizia nimepotea maana nilikuwa mgeni Malawi! Kwa Mara ya kwanza nikaingia sehemu wanapojiuza madada poa!nilivyofika sehemu ya tukio nikajifanya kama mzoefu Fulani hivi ili nisipandishiwe bei!ili kuokoa muda bila kuchagua nikamwita kahaba mmoja na bila ya salamu nikamuuliza how much?kweli akinitajia bei ni 3000 Malawian kwacha nikamshusha hadi 2000kwacha!nitaendelea hapa chini kwa vile imekuwa ndefu kidogo...
[emoji23] [emoji23] yajayo yanafurahishaMkuu nguvu zako za kiume zipo mashakani..! Mie nikiona hata jicho tu la mwanamke lililolegea huwa nadindisha sasa wewe pamoja na kuvuliwa kabisa bado hudindi..?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nunua wa kulala nae hadi kukuche sio wa cha fasta fasta
Chamsingi ukiwa na njaa we Kula tuu Ila ukumbuke zana. Na hakuna kahaba anaekubali bila condom otherwise maelewano mengine Ila hawa wa mitaani ambao tunaamini ni salama ata first day unakula bila zana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakaja kama wooote
Sometimes unaweza ukachukua Malaya then usipate hisia,kumbe sio Mimi peke angu huwa inanitokea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Japo unaandika Kishamba ila hii ndio hali halisi mara nyingi hata huku bongo ni the same
Wapi pameandikwa sigara dhambi?Alafu mengine yanavuta sigara, yanakunywa pombe.
Sasa anakuja ananuka sigara na pombe bila kujali Mtu umeshika dini yako hivyo hupatani kabisa na sigara wala pombe.
Duuu!!! Huyo noma huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao wa kwenu ni makahaba vumbi. Tunaita night walkers, asikwambie mtu hakuna asiependa starehe. Kuna tajiri mmoja maarufu sana Bongo ana order makahaba hata 3 kutoka Brazil wakifikia anawatawanya hotel tofauti tofauti anajililia kama mtu alieoa wake watatu. Mda ukifika makahaba haoo wanakwea Emirate Air wanarudi zao Brazil na mshiko wao, Tatizo watu wanapenda vya bure na bure ghali. Mnanunua mali mbovu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baadhi ya wana member wamenisisitiza nimalizie story hii!Sasa baada ya Mara ya kwanza kutoa pesa na kushindwa kucheza mechi yule kahaba alinionea huruma na kuonyesha huruma yake akawa amenirudishia change ya 500 Malawian kwacha! Lakini alichokuwa amenisitizia kuwa kama una mke au mpenzi anaweza akawa amekufunga kichawi ili uwapo na mwanamke mwingine uume wako usisimame!hapo machale yakaanza kunicheza sababu kubwa ni kwamba hali hiyo haikuwahi kunitokea hata siku moja!presha ikaanza kuzidi speed! Niliondoka kishingo upande na mawazo yalitawala sana akili yangu!je ni kweli uchawi huo upo au ni propaganda!! najua kuwa uchawi upo ila siamini katika uchawi!,Nilienda kujitafakari kwa wiki nzima!,na wazo lilinijia ngoja nikajaribu kwa kahaba mwingine!lakini je?ikinitokea ile hali ambayo ilinitokea hapo mwanzo itakuwaje?nilijiuliza maswali mengi sana!nikasema hapana siwezi kudhalilika Mara ya pili!wazo likanijia kwanini nisinunue Viagra ili nitumie nikiwa sehemu ya tukio?nikaona kwa Mara ya kwanza ngoja nijaribu hii kitu japo huwa nasikia tu na sijawahi kutumia!basi mida ya jioni nikazama kwenye duka la dawa na kuulizia dawa hizo aina ya Viagra kweli nililetewa na kuchagua mojawapo nakalipa pesa nikaondoka zangu!na baada ya muda nikameza kidonge kimoja na kuelekea sehemu ya tukio!,Nilivuta vuta time kisha nikamuita kahaba mmoja baada ya makubaliano tukazama chumbani!mnara ulikuwa unasoma fresh sasa tatizo ni kwamba kila ukifanya mapenzi kukojoa hukojoi hapo nimeshapandishiwa bei kwa ajili ya kuchelewa then si enjoy chochote boro halitaki kusinyaa ikawa ni kero tu!mwisho wa siku yule kahaba akashindwa kuvumilia pamoja na ongezeko ya dau akanichomoa na kunisukuma pembeni na mkataba ukaishia hapo!Nikaona isiwe kesi nikatoka nje nikachukua mwingine kwa kisalio nilichokuwa nimebaki nacho!na yule piga sana mwisho wa siku condom ikapasuka sasa kumbe kahaba condom ikipasuka huwa anakuchaji Mara mbili ya bei mliyokubaliana!mtii ukaanza pale kwamba nimlipe pesa nyingine na Mimi sikuwa nayo! Basi akaita wenzake pale wakaja kama wote aisee!......nakuja kumalizia wakuu
Hivi herpes inatibika?Hakuna sababu yoyote ya kununua wadada poa,hakuna msisingizie mbna sie tunakaa miaka mpaka 3 hatuliwi kwa nini nyie msiweze?Kumbukeni kuna herpes siku hizi
haitibiki hata sema inapungua,ila kuna kinga kama nawewe unanunuaga kapate kinga(japo kinga muhimu kwa sisi sote )Hivi herpes inatibika?
Kinga inadumu kwa muda gani,??haitibiki hata sema inapungua,ila kuna kinga kama nawewe unanunuaga kapate kinga(japo kinga muhimu kwa sisi sote )
Alafu mengine yanavuta sigara, yanakunywa pombe.
Sasa anakuja ananuka sigara na pombe bila kujali Mtu umeshika dini yako hivyo hupatani kabisa na sigara wala pombe.