Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,299
- 60,931
Officially takenUpo single wewe?
Officially takenUpo single wewe?
Am officially takenare you single ready to mingle?😎
Single but taken au sio😄😅😂😂Nini maana ya neno "single"
Kwa ufahamu wangu, najua yule mtu ambaye hayuko ktk ndoa, au uchumba.
Sasa hapa kunao wengine, hawako ktk hiyo situation, ila wako na wapenzi.
Je wee unazungumzia wepi?
Nweiii, niko single, but Ba tamu ninae, 😘😘
Km vile yaan, 😂😂😂😂Single but taken au sio😄😅😂😂
We hayaa😄Km vile yaan, 😂😂😂😂
😂😂😂😂 au nasema uongoo.?!We hayaa😄
upweke ni utumwa mbaya sana aiseNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.
Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.

Niko paleeAm officially taken
SawasawaNiko palee
How life is going mzeeMAmbo haya bwana
So far life is great,just busy and evolving. Kuna time unam miss mtesi wako ila ndio hivyo una balance life.😂.How life is going mzee
Hatujaumbiwa usingle ni kiburi tu😂Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.
Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.
safi sanaSo far life is great,just busy and evolving. Kuna time unam miss mtesi wako ila ndio hivyo una balance life.😂.
Ni kaz sana kuzoea japo progress si mbaya
Natafut mchumba vip huko uliko hujaona binti timamu?Mmoja mmoja mpaka wote mtasema yote,
Ukweli uko hapa.ukamtafute wa kufanana naye
😂😂😂 daah nilijua nimepata dodo mshenzi yule kumbe nae ni dondora tuHuwa ni hivyohivyo,unapopata mtu humu unamuamini lakini kumbe amekuja kukuchora kukujua kiundani....then akufungulie thread au a reply comment yako vile ajisikiavyo....kuwa makini
🤣🤣🤣🤣😂😂😂 daah nilijua nimepata dodo mshenzi yule kumbe nae ni dondora tu