Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,199
- 10,837
SIO KWELI.WALIOKO KWENYE NDOA WANATAMANI KUWA SINGLE
Wanalia na kusaga menoš¤
SIO KWELI.WALIOKO KWENYE NDOA WANATAMANI KUWA SINGLE
Wanalia na kusaga menoš¤
Ndiyo inachosha mkuu.,Una raha wewe yani hadi umechoka kweli?
Watu tunatafuta hizo raha kwa shida nyie mnakufuru mnasema mmechoka?Ndiyo inachosha mkuu.,
Kilasiku utikise kiuno...š³š
Hii ndio Fundisho vijana hawataki kuoa mimi nataka nivute jiko tuuNilikuta Kwa wasukuma ukifa singo alafu huna hata mtoto wanakuzika hadi na godoro ulilokua unalalia na matakataka yako yote hadi nguo
Aaah wapi kuumizana kwenye mapenzi ni kawaida, Ila kuwa single kunauma zaidi.Ni hadi mapenzi yakuumize ndio utajua Bora kuwa single.
Pole Mkuu ndo changamoto za ndoa.WALIOKO KWENYE NDOA WANATAMANI KUWA SINGLE
Wanalia na kusaga menoš¤
Hakuna raha kama kumpata wa kupendana naye.Ukiona mnapishana na mwenzako muache! wapo wengi tu wanaotaka ndoa!! Kuwa singo ni ujingašæ
Unawashauri Baba zako kuhusu kumvumilia Mama yako?
Nani kakuambiaWALIOKO KWENYE NDOA WANATAMANI KUWA SINGLE
Wanalia na kusaga menoš¤
Safi sana MkuuInabidi tuoe ili kuwaokoa wanawake ambao kwa sasa wengi wanasumbuliwa na uraibu wa kujichua
Tunazitafuta kweliš©š¤£š¤£Watu tunatafuta hizo raha kwa shida nyie mnakufuru mnasema mmechoka?
Kukutana na KO ni kawaida.Siku ukikutana na K.O Vibaya utajiunga kwenye chama cha kataa ndoa ,
Tho Mahusiano Mazuri yanakuja wakati Sahihi si kwa kushauriwa na mtu
Fungua uzi basi dear tupate mawili matatu juu ya hayo mahusiano ya onlineUsitafute mpenzi mtandaoni mkuu,nimejifunza mengi sana ....hii siyo njia salama mkuu
Kuachwa ni kawaida Mkuu. Ila kuwa na wa kupendana naye kuna raha yake.Umeachwa lini? tuanzie hapo kwanza
Nakubaliana na wew mkuu.Kuachwa ni kawaida Mkuu. Ila kuwa na wa kupendana naye kuna raha yake.
Huwa ni hivyohivyo,unapopata mtu humu unamuamini lakini kumbe amekuja kukuchora kukujua kiundani....then akufungulie thread au a reply comment yako vile ajisikiavyo....kuwa makiniFungua uzi basi dear tupate mawili matatu juu ya hayo mahusiano ya online
Mimi nilikutana na rafiki tukakuza urafiki tukawa mahusiano mpk uchumba hakuwa ridhiki akakufwa
Ni kweli na nakutakia Kila la kheri love is beautiful but it hurts mostAaah wapi kuumizana kwenye mapenzi ni kawaida, Ila kuwa single kunauma zaidi.
Hakuna kitu kizuri hapa duniani kama kumpata wa kufanana naye.
Nyeto imekutafuna weee na baridi limekupiga hadi umesalimu Amri.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.
Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.
Ipo kubwa sanaNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.
Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.
Pole sana kijana inaonekana umetoka kuumizwaNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.
Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.